Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Mambo ya kupokezana ilikuwa ni lengo LA nyerere kuleta usawa kati ya nchi 2.ilikuwa baada ya Mkapa Dr.Omary Juma alitakiwa awe rais wa Tanzania bahati mbaya boyz2 men wakiongozwa na Baba riz walilipa kisasi kwa kile alichotendewa na nyerere mwaka 1995.hivyo kufanys utaratibu mzima kuvurugika-Its politics.
 
HIVI ZANZIBAR NI NCHI YA KIFALME NAONA MWINYI MWINYI WATU WAMEISHA HUKO ZENJ?
 
Zanzibar ni dola la kiislamu, sio rahisi kwa mwanamke kupewa nafasi ya juu.

Lakini namtakia kila jema huyu mama, ni kiongozi mwema. Jiwe kama anaweza amuachie tu naye apige muhula mmoja uliobakia.
 
Inasilitisha sana kuona CCM mmejipa hati Miliki ya kuongoza hii nchi.
Mwisho wenu Mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye macho haambiwi tizama.
 
Naunga mkono hoja mkuu ila Mh Shein akuwa Makamo Kwa miaka 10...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana maoni yake. Naona munazungumzia Zanzibar kama vilewazanzibari hatupo?. Hivi muna thubutu kutuchagulia raisi au ndio mazoweya kuwa kila bovu munalo lipenda nyinyi kwa wazanzibari sio lolote. Sio Hussein wala Mbarawa, kwa Zanzibar hawana ubavu wala hawatakiwi. liliopo ni kutumia nguvu ya dola. Lakini mwaka huu tunamaliza mzizi wa FITINA. Hilo mulijue wazanzbari washasema NOOOOOOOOOOO.
 
HIVI ZANZIBAR NI NCHI YA KIFALME NAONA MWINYI MWINYI WATU WAMEISHA HUKO ZENJ?
Shida yao Ni moja tu, they have never been groomed to serves the office of president.
Ikulu Ni ofisi nyeti yenye vigezo vingi mno na litaasisi lenye mizizi mirefu if your are not vetted enough hakuna namna unachezea tofali .
 
Naheshimu maoni yako, Ila napenda nikwambie huu mwaka utampata fursa kujua Kuna sisi wananchi na Kuna kundi la wafanya maamuzi.

Usije ukashangaa matokeo utayoyaona, Bali itumie Kama fursa kujifunza mwenendo wa siasa hautokani na Wala sio lazima hatma yake iamuliwe na wananchi sometimes wafanya maamuzi ndio hujua Nani Ni sahihi kwa wakati sahihi.
 
Tuachane na zanzibar yetu nyie komaeni na litanganyika lenu. Sisi raisi wetu kipenzi ni Maalim Seif Sharif Hamad
Ataongoza nini uyo babu amekwisha choka, hajiongezi miaka zaidi ya 25 anataka uraisi ataongoza nini
 
Mkuu sijui kama unajua maana ya neno FEDHULI,Kama kusema kuwa Zanzibar imekatwa makali katika Muungano pale alipofanywa Raisi wa Zanzibar kuwa Waziri asie na Wizara maalumu kwenye serikali JMT ni ufefhuli basi naomba radhi..

Je umewahi kutafakari kwanini Karume na Shein,maraisi wawili hawa wa Muungano wamesusa vikao vya serikali ya JMT??

Je kwasababu Shein anamuogopa mama mwenye macho mazuri au kwasababu anaona amedharauliwa??

Au kwasababu anaona haina maana kwa yeye kuwapo pale kwavile mrembo yupo pale?
 
Dr.mwinyi Nampa asilimia Mia kwa Zanzibar,..
Yet ndie atakaeipeperusha bendera ya ccm Zanzibar...
Dr Mwinyi sio Mzanzibari,haijui Zanzibar,hajawahi kuishi Zanzibar,hajui matatizo ya Wazanzibari

Tunataka Mzanzibari mzalendo ambae anaweaza kuwaongoza Wazanzibari kwa maslahi ya Zanzibar

Naona Seif anafaa,wengine wote ni wachumia tumbo tu,vibaraka wa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…