Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Jeeeeesus yani vitu vya tamthilia ambazo 98% viewers wake ni wanawake n watoto uje utolee mfano kwenye majambo serious?

Sick comment!
 
Sasa unahisi Tanganyika itaruhusu kiongozi ambaye ataleta matatizo?
Alafu nyie watu wa mkoa wa Zanzibar nyie
 
CCM inavyowapanga watu kuingia urais wa Zanzibar ni kama risasi kwenye magazini.
 
Uweli huyu mama katulia sana,ni moja kati ya viongozi wasiokuwa na papara katika uongozi wake,nawaza anauwezo wa kufika mbali zaidi kiuongozi.
Kashafika mbali tayari aisee yani kuwa no 2 bado hajafika mbali au mpaka awe raisi wa marekani
 
Donald Trump nae pia Ni babu lakini anaiongoza United States of America..age is just a number....
Ukimuuliza leo kipi kilimsukuma kuiongoza Zanzibar 1995 na kipi kinamsukuma leo hii kuiongoza Zanzibar 2020 to 2025 usishangae akakupa sababu zile zile na ndio maana tunasema apumzike achieved wengine
 
Jeeeeesus yani vitu vya tamthilia ambazo 98% viewers wake ni wanawake n watoto uje utolee mfano kwenye majambo serious?

Sick comment!

Du, Mkuu mbona mtazamo wako ni hasi!

Je, unajua kuwa tamthilia hutungwa kuwakilisha maisha yaliyotokea au yatakayotokea! Vivyo hivyo hata sanaa zingine km nyimbo hutungwa kutokana na maisha halisi au kutabili yatakayotokea.

Ati tamthilia ya Razia Sultan hutazamwa na wanawake na watoto! Mtazamo dume huo. Je, Thatcher na indira Gandhi nao ni wa tamthilia? Kwako wewe hata bandiko kuu, ambalo mwandishi kawakilisha utabiri wake ni upuuzi?

Jeeeesus, what a sick comment!
 
kwa ujumla, Tanzania ipo nyuma sana ki demokrasia. Na sisi wananchi ndio tuna sababisha hivi kwa kuto jiamini.. Kama tumerudi kwenye siasa ya chama kimoja inapaswa serikali kuwajulisha raia wake na kama ni nchi ya demokrasia pia liwekwe wazi. Masuala ya kuchaguliwa viongozi tuliyakataa zamani na sasa hivi sisi wazanzibari tunajitayarisha kwa hali yoyote ijayo. Maraisi wa dodoma mwisho ni Dr. Shein..
 
Subiri GOGOKI ataupdate maana anafatilia kikao cha KISIWANDUI......Ila kasema kwamba Mgombea Wa Meko anapigwa Chini ,Sasa sijajua kama mgombea wa Meko ni Dr Hussein Mwinyi au mwingine?
 
Sasa unahisi Tanganyika itaruhusu kiongozi ambaye ataleta matatizo?
Alafu nyie watu wa mkoa wa Zanzibar nyie
Tanganyika haiwezi kuruhusu Mkoa wake uponyoke..

Je Wazanzibari wataruhusu kunyanyaswa kisiasa na Wakoloni Weusi
 
HIVI ZANZIBAR NI NCHI YA KIFALME NAONA MWINYI MWINYI WATU WAMEISHA HUKO ZENJ?
Machifu wa kisarawe hao,Hii ni milki yao waliopindua wazee wa Sakura.
Usishangae hata kusikia Masauni,wa Muhoro, au
Mustafa A.Jumbe wa Kisiju.
Wote ni Maajent wa Tanganyika.
 
Ukimuuliza leo kipi kilimsukuma kuiongoza Zanzibar 1995 na kipi kinamsukuma leo hii kuiongoza Zanzibar 2020 to 2025 usishangae akakupa sababu zile zile na ndio maana tunasema apumzike achieved wengine
Hizo sababu ndizo zinawafanya Wazanzibari wamkubali huyo Babu

Wazanzibari hawampendi Seif,wanapenda SERA za siasa zake....

Seif akifa leo SERA zake zitaendelezwa na mwengine..
 
Tanganyika haiwezi kuruhusu Mkoa wake uponyoke..

Je Wazanzibari wataruhusu kunyanyaswa kisiasa na Wakoloni Weusi
Tunawanyanyasaje hao wazenji?
Wametaka nini tumewanyima deni la umeme lenyewe tumewasemehe
 
Kongole mkuu
This is a Mark on the stone
👍 🙏
 
Zanzibar ni kitamaduni ni kama nchi ya ki-cheif/ku-sultani na haijawahi kutokea sultani mwanamke.

Ila Paskali kama logic yako ya Dr. Hussein kuchukua Urais wa Zenji 5 years then baada ya Mkulu wa sasa ahamie huku; mantiki inagoma ila hakuna kisichowezekana chini ya jua.

Ila muato ndoto nae anaweza kuwa na sense, kama ilivyokuwa 2010 kwenye kinyang'anyiro cha Uspika wa Bunge, CC ikasema safari hii mwanamke then Mana Anne Makinda akapenyea hapo. Kwa muktadha huo VP ni mkubwa ki-hierach ila huenda Mama Samia akapata hadhi ya kutembea kwenye red carpet, kupigiwa mizinga na kuandamana na Kanali kama mpambe. Anaweza kukubali kushuka ki-hierach ila akatamani kuzungukwa na kuwa boss wa visiwa wa marashi ya pemba.

Siku 60 kuanzia leo kitakuwa kishaeleweka na tutakuwa tunawatakiwa kila la kheri wazenji kwenye uchanguzi, maana anaepenya kwa dirisha la CCM bila shaka mfumo hupelekea kuchaguliwa na kutangazwa na maisha yakaendelea.
Wenye turufu hapa ni CC na NEC; kinachobakia huku, huwa ni formality
 
Pole sana usilolijuwa....
 
Mama Samia hatagombea uraisi Zanzibar, (i) Kwa sababu cheo alichonacho sasa ni kikubwa kuliko uraisi wa Zanzibar; & (ii) Watanzania wa Zanzibar kama ilivyo bara hatuko tayari kuongozwa na mwanamke katika madaraka ya uraisi.
Kwanini?
 
Za Zanzibar ni HUSSEIN MWINYI vs PR.MBARAWA

and ukiangalia kwa top leader wa nchi wanamuangalia mbarawa zaid japo Hussein mwinyi kaandaliwa muda mrefu.
Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…