Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Naona UTABIRI UMETIMIA 6/11/2022 MUNGU awape PUMZIKO marehemu wetu
 
Samahani mkuu ilikuaje ukatabiri. Hembu tuweke sawa maharage ya ukweni
Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee.Kwakuwa ni mpango wa mungu na sio Shetani basi huwa haiwezekani kubadiri hata kwa dua au maombi kwani huwa ni mambo ambayo muda wake wa kutimia huwa umefika.
 
Utabiri mazuri mabaya yanahuzunisha
 
Ni katika ndoto mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…