yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Kile kichwa alibeba yule mvuvi kimekatika kutoka wapUtabiri haujatimia , labda tutegemee ajali nyingine , haina logo nyekundu , na haijakatika ....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kichwa alibeba yule mvuvi kimekatika kutoka wapUtabiri haujatimia , labda tutegemee ajali nyingine , haina logo nyekundu , na haijakatika ....!!
Naomba unitag jibuSamahani mkuu ilikuaje ukatabiri. Hembu tuweke sawa maharage ya ukweni
Mkuu nina shida na ww...Kaka Pasco watu wengine wanadhani natafuta kick,ila mambo yanaanza kutokea kiroho Kimwili ni finishing tu.
Mkuu nina shida na ww...
bado unakaubishi fulani hiviDuuuh, japokua sio 100% kama ulivyotabiri ila hii ni balaa!
Acha ukorofi 🤣🤣🤣Vipi damu haikutosha mkuu!
[emoji1787][emoji1787]shida za kidunia....aniotee mambo flan flan,isije kua kuna sehem napoteza mudaUna shida gani?
Uzuzu ndo nn?Acha uzuzu ww
Naona UTABIRI UMETIMIA 6/11/2022 MUNGU awape PUMZIKO marehemu wetuSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Kabisa nduguTatizo afya ya akili mkuu na umasikini ndo unatumaliza.
Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee.Kwakuwa ni mpango wa mungu na sio Shetani basi huwa haiwezekani kubadiri hata kwa dua au maombi kwani huwa ni mambo ambayo muda wake wa kutimia huwa umefika.Samahani mkuu ilikuaje ukatabiri. Hembu tuweke sawa maharage ya ukweni
Usidharau watu usio wajua mkuuJamaa hana akili na hii ni chai ngoja nisogeze maandazi.View attachment 2397746
😀😀😀 sawa[emoji1787][emoji1787]shida za kidunia....aniotee mambo flan flan,isije kua kuna sehem napoteza muda
AiseeTakataka. Hakuna cha ajali hapa.
Utabiri mazuri mabaya yanahuzunishaMkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee.Kwakuwa ni mpango wa mungu na sio Shetani basi huwa haiwezekani kubadiri hata kwa dua au maombi kwani huwa ni mambo ambayo muda wake wa kutimia huwa umefika.
Mkuu kuna baadhi ya siku huwa natembezwa kuonyeshwa baadhi ya mambo na nnachoneshwa lazima itimie coz huwa ni mpango wa Mungu ambao ameshakadiria itokee.Kwakuwa ni mpango wa mungu na sio Shetani basi huwa haiwezekani kubadiri hata kwa dua au maombi kwani huwa ni mambo ambayo muda wake wa kutimia huwa umefika.