Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Jamaa kama nabii Yusuf wa kwenye biblia!!!
Umetisha mwamba.
 
Kiongozi ni maono tu wala sipigi ramli,sema kitendo cha wale jamaa ZANGU wa DAMU YA YESU kunifata PM ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia yaani 7 WONDERS OF THE WORLD
Mkuu piga hela sasa chagua mmoja uwe unampa siri ila kila habari mchaji milioni hamsini watatoa tu huwajui
 
Mkuu sala ina nguvu sana..kinachotokea ni madhambi yamekua makubwa na watu hawasali kwa kutoka rohoni ila MUNGU HUWA ANAGHAIRI SANA ila ndio usali kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ameotea tu huyu asije akawachota mkajaa.
Sawa, ila ndo huyu huyuu, ali Tabiri ile ya Arusha.., huyu huyuu ali Tabir kifo cha JPM since 2016.huuyu Huyu ali tabiri kjhusu kuumwa kwa Lowasa tatzo hamfatilii Nyuzi zake mkae kwa kutulia basi.

Na niku hakikishie haya mambo yapo na ni kwa gifted pepo sio kila mtu Niseme tu WALLAHI WATA WALLAHI HAYA MAONO YAPO [emoji24][emoji24][emoji24]mengine ysna tisha mtu unaogopa kusema kwa public mengine unasema baada ya ila uto aminika ila yapo.
 
Unataka utume majini yakaangushe ndege Kisha useme ulitabiri!!!

Kinachofanyika ni kuandaa watu kisaikolojia. Endelea kutabiri ila nakutabiria kuwa Kuna moto mkubwa unakusubiria
Hii kiroho tunaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…