Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Duh...!.
Japo Nabii hakubaliki nyumbani!, lakini utabiri ni utabiri tuu, sio lazima uzingatiwe sana lakini usipuuzwe!.

Mfano ajali ya ndege hii iliyotabiriwa hapa, bado haijatokea, ndege ya kwenye utabiri huu ni ndege nyekundu na ingekatika katikati, ndege iliyoanguka ni sio nyekundu na haijakatika popote!.
Rip Marehemu wetu,
Wafiwa poleni!.

P
Pasi, jamaa alitabiri vilivyo. Utabiri huwa ni chembechembe zenye uhalisia upelekeao tukio, ni patterns tu mkuu maharage ya ukweni yuko sawa. Ajali imetokea

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Lakini jamaa alitabiri hadi kifo cha Magufufuli. Alitairi toka mwaka 2016 kwamba Magufuli atafariki awamu ya pili. Bahati mbaya ile thread imefungwa comment lakini ipo.
Nimeuona ,basi jamaa anakipawa cha ndoto za kweli. Kama mimi sometimes inanitokeaga ila sizingatii nakuja kumbuka baada ya event kutokea kuwa nilipata ishara za hilo tukio.
 
Nimeiona ,basi jamaa anakipawa cha ndoto za kweli. Kama mimi sometimes inanitokeaga ila sizingatii nakuja kumbuka baada ya event kutokea kuwa nilipata ishara za hilo tukio.
Mkuu Uzi huo umeuona sehemu gani?

Unaweza kuweka kiunganishi hapa ili tuweze kuusoma?
 
Logo nyekundu= mbia mwenzake na Precision air sasa hivi ni Kenya Airway✓
kukatika vipande viwili,= suburi inasuliwe kwenye mchanga, watu wa Bugabo wananguvu sana maana wamevuta kokolo kabla hatujapata uhuru wanaweza kuvuta hii ndege hadi ikatike vipande viwili!
Nadhani umeona
 

Ndugu Mtabiri Tutabirie Na Hawa Viongozi Ulete Maneno

Hawa Wanakula Milk Shake Peke Yao Tu, Yaliyomo Yamo

 
Mkuu Uzi huo umeuona sehemu gani?

Unaweza kuweka kiunganishi hapa ili tuweze kuusoma?
IMG_20221108_213447.jpg
H
 
Back
Top Bottom