Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Pasi, jamaa alitabiri vilivyo. Utabiri huwa ni chembechembe zenye uhalisia upelekeao tukio, ni patterns tu mkuu maharage ya ukweni yuko sawa. Ajali imetokea

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Lakini jamaa alitabiri hadi kifo cha Magufufuli. Alitairi toka mwaka 2016 kwamba Magufuli atafariki awamu ya pili. Bahati mbaya ile thread imefungwa comment lakini ipo.
Nimeuona ,basi jamaa anakipawa cha ndoto za kweli. Kama mimi sometimes inanitokeaga ila sizingatii nakuja kumbuka baada ya event kutokea kuwa nilipata ishara za hilo tukio.
 
Nimeiona ,basi jamaa anakipawa cha ndoto za kweli. Kama mimi sometimes inanitokeaga ila sizingatii nakuja kumbuka baada ya event kutokea kuwa nilipata ishara za hilo tukio.
Mkuu Uzi huo umeuona sehemu gani?

Unaweza kuweka kiunganishi hapa ili tuweze kuusoma?
 
Nadhani umeona
 

Ndugu Mtabiri Tutabirie Na Hawa Viongozi Ulete Maneno

Hawa Wanakula Milk Shake Peke Yao Tu, Yaliyomo Yamo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…