Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Issue ya utabiri ya huyu maharage ya ukweni ni sahihi, hii hatupingi. Lakini ajali yenyewe nahisi ilipangwa kutokea under Freemason Decision, na ikapangwa aandaliwe kijana mmoja kwa ajili ya kula shavu hili. Huenda Majariwa alijiunga na chama la wana wakamwambia atapata pesa kupitia ajali hiyo
 
Mkuu wewe ulijuaje kama ajali ya ndege itatokea???? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Huna akili, na naiman we ni shabiki wa Simba
 
Majini hayo huwa yanakutembeza wala si Mungu. Mungu anapokuonyesha jambo hukupa na njia aidha kuzuia, kuonya au kuponya ili watu watubu na kumrudia Mungu lkn ukisema tu ajali itatokea bila way forward hayo ni mapepo ya utambuzi tu.
Mfano kama huyu jamaa unadhan hata angetoa solution nani angemsikiliza hakuna anayemjua? Kumbuka yusuphu gerezani alipewa credit na moja ya watumishi wa mfalme kwamba kuna mtu ni mtafsiri ndizo😂😂 by the way angekuwa mtu famous watu wengi wangekuwa washamjua
 

Jamani msidhihaki watu kwa kila uzi.. kuna mtu mm namfahamu huwa asilimia 80 ya ndoto zake anazoota hutimia kweli. Hata kwenye familia nzima akiota jambo kama ni baya basi lzm watu waingie kwenye Naomb I
 
Ni mwanachama gani vile alisema ifikapo 2022 tutakuwa na Rais mwanamke?
 
Siku chache zijazo Kuna rais wa kiafrika ataachia ngazi.
Hiyo nchi Ina herufi mojawapo wa hizi
A. G. N. D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…