King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Salaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Hakika maandiko yametimia........ Mungu azinusuru roho za marehemuSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Ndo nataka nimjue maana nimeshangazwa sana.Alitabiri huyu mwamba.
Msimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.
Sijui alitabiri akapatia kweli au maana precision logo yake si nyekunduHakika maandiko yametimia........ Mungu azinusuru roho za marehemu
Precision air imeanguka ziwq Victoria miss huu.Uokoaji anaendelea.Nini kimetokea?
Leo imetokeaWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen