Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Duh hata mwezi haujaisha...
Japo utabiri umetikia nusu nusu ila we ni hatari
Japo utabiri umetikia nusu nusu ila we ni hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utabiri bado haujatimia. Kuna shirika jipya limezinduliwa juzi kati hapa hilo ndio nahofia sana. 😔😞😔Utabiri haujatimia, huyu jamaa alisema ndege itakatika vipande viwili na ndege ina beji nyekundu. Lakini sio kweli vyote hivyo
Tuache upuuzi watanzania
Nakumbuka huo uzi mpaka niliuscreenshot najamaa yuko vizuri kwenye utabiri aliwahi tabiri pia juu ya maalim seif, aliwahi tabiri juu ya corona na pia nakumbuka mara ya mwisho alitabiri juu kiongozi mkubwa wa Tanzania ambaye hatotoboa mwaka 2023.2016 alitabiri magufuli atakufa au hatoendelea na urais mods wakaufuta na kweli magu alikufa huyu tumwangalie sana huyu
Ngoja aje aseme kama utabiri umetimia au tungojee mwingine.Utabiri bado haujatimia. Kuna shirika jipya limezinduliwa juzi kati hapa hilo ndio nahofia sana. [emoji17][emoji20][emoji17]
Ndio ishatokeaWewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
SawaNgoja aje aseme kama utabiri umetimia au tungojee mwingine.
Lakini alisema ndege itakua na lebo ya rangi nyekunduLeo ajali ya ndege imetokea wewe jamaa Noma from 24 to 6/11/2025
Ndio mrithi huyuSheikh Yahya bado upo duniani?
AiseeHakuna kitu kama hicho
Kwamb ulishindwa kuivunja roho ya mtoa mada?Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kati ya watu wote wa mwanzo kukomenti, Mzee wa Kilinge ulikomenti kwa kulinda heshima yako[emoji122]Lolote laweza kutokea.. Maombi na sala huepesha haya mambo
DuuuhhMsimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.
Salaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.
1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.
Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee