Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

2016 alitabiri magufuli atakufa au hatoendelea na urais mods wakaufuta na kweli magu alikufa huyu tumwangalie sana huyu
Nakumbuka huo uzi mpaka niliuscreenshot najamaa yuko vizuri kwenye utabiri aliwahi tabiri pia juu ya maalim seif, aliwahi tabiri juu ya corona na pia nakumbuka mara ya mwisho alitabiri juu kiongozi mkubwa wa Tanzania ambaye hatotoboa mwaka 2023.
 
.
1667687287911.jpg
 
MMzeee yametokea kweli
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
 
Back
Top Bottom