Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Wewe ni mganga ?
 
Hataree hebu tuanze kumfuatilia kwa makini tunaweza jifunza kitu
Mimi naamini yeye ni mtu anayeamini katika ndoto... so kuna uwezekano aliona ndotoni... Na mara nyingi akiota basi huwa kweli... Hii hata kwangu iliwahi tokea kwenye janga moja kubwa hapa Tanzania... Asubuhi naamka nakutana na taarifa mbaya za kitaifa...
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Precision air ila mbili na tatu umeongopa
 
IMG-20221106-WA0105.jpg
 
Back
Top Bottom