Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Ukitak kujua Binaadam ana wivu na roho mbaya we angalia wanaopinga huu utabiri.Watu bado wanakomaa eti utabiri umetokea nusu! Alicho tabiri kimesha tokea sio mpaka kitokee sawa kabisa na alivyo ona ishu iliyopo ss ndio tumeona alicho tabiri bhasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho za Wivu na kichawi.
Utabiri si lazima utimie wote. Ishu ni dhima kuu ambayo ni AJALI na tyr ishatokea