Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Huyu Jamaa habahatishi..
 
Ajali bado imetokea lakini wabongo bado wanataka yangetokea vile vile kama jamaa alivyoota.

Hafu mkumbuke pia jamaa hapo chini aliomba kuwa Mungu aepushe iyo kitu isitoke.

Sasa watu wanauliza mbona ijakatika vipande viwili,sasa jamani mlitaka na ikatike vipande viwili hafu iweje watu wafe au? jamaa kapatia mule mule aliomba kwa Mungu aepushe iyo ajali Mungu naona kaachia ajali itokee ila isiwe ya kutisha ili watu wa amini maono ya jamaa ni kweli.
 
"Mungu ni mwema sana,Hatimae abiria wote 49 wametoka salama.
Heshima kwenu JESHI pamoja na wananchi kwa kazi nzuri,Mungu azidi kuwashindia.🙏🙏"--Copy & Paste
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Utabiri wako umechemsha
 
Halafu ili kuutukanisha UISLAM unaanza na kutoa salam ya kiislam ili watu wajue mtoa mada kuwa ni muislam, na hayo ndio yanayo waaminisha watu kuwa waislam ni wapiga ramli,
Katika mafundisho ya kiislam hakuna mtu mwenye elimu ya jambo linalotarajiwa kutokea, huo ni USHIRIKINA, na nikinyume kabisa na uislam, km mnakuwa na mada zenu za kishirikina acheni kujinasibisha na uislam toeni tu salam zenu za kawaida, endeleeni na mambo yenu, inafahamika hili ni jukwa huru, ila msitutukanishie dini yetu.
 
Watu bado wanakomaa eti utabiri umetokea nusu! Alicho tabiri kimesha tokea sio mpaka kitokee sawa kabisa na alivyo ona ishu iliyopo ss ndio tumeona alicho tabiri bhasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahih kbsa ,binfsi niliwai ota ndoto ruto kuwa rais nilijikalia kimya kwamm mm hata nilitaka odinga awe rais ,ajabu imekuwa kweli na ndoto ile ilijirudia Mara mbili mbili
 
Hukuwa na haja ya kumtukana jamaa kipindi hicho October maana hakuchukua hata mia yako kutabiri haya..[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] jamaa anamwambia mtabiri kuwa mpambafu huku akilitaja jina la yesu

Hate hvyo mtabiri aliomba kwa mungu aepushe Hilo lisitokee ila bado aliambulia matusi na kukemewaa

Naifananisha hi ndoto ya jamaa na ndoto ya yusufu
 
Back
Top Bottom