Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Kwa leo basi tumeepusha shari.
 
Halafu ili kuutukanisha UISLAM unaanza na kutoa salam ya kiislam ili watu wajue mtoa mada kuwa ni muislam, na hayo ndio yanayo waaminisha watu kuwa waislam ni wapiga ramli,
Katika mafundisho ya kiislam hakuna mtu mwenye elimu ya jambo linalotarajiwa kutokea, huo ni USHIRIKINA, na nikinyume kabisa na uislam, km mnakuwa na mada zenu za kishirikina acheni kujinasibisha na uislam toeni tu salam zenu za kawaida, endeleeni na mambo yenu, inafahamika hili ni jukwa huru, ila msitutukanishie dini yetu.
Hiyo salam sio ya kiislam,ipo kwenye kamusi ya kiswahili sanifu labda useme inatumiwa sana na waislam tu au kwakua asili yake ni uarabuni.
 
Watu bado wanakomaa eti utabiri umetokea nusu! Alicho tabiri kimesha tokea sio mpaka kitokee sawa kabisa na alivyo ona ishu iliyopo ss ndio tumeona alicho tabiri bhasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yuko vizuri tuache ubishi..wengi wetu hapa hatuwezi kufanya hata robo ya alichokifanya..
 
Nitoe pole ya dhati kutoka ndani ya moyo wangu Kwa wenye upeo mdogo kama mimi.Nasema hivyo sababu ndio namna sahihi ya kusema.

Kwa wanaopinga utabiri hujatumia lazima Kuna tatizo mahali labda hawamjui mleta mada,wabishi bila sababu au wanapenda kukosoa Kila kitu kama Mama wa kambo.

Ukimfutilia mleta mada utagundua sio utabiri wa kwanza kutimia kati ya tabiri alizoleta.Kutokutimia Kwa vitu vyote vilivyotajwa katika utabiri ni fumbo na wengi wetu tunashindwa kufumbua .Tumebakia kupinga utabiri haujatimia asilimia mia.

Sio rahisi kama ameweza kutabiri vyingine vikatimia Tena vikubwa Zaidi.Alafu huu utabiri wa leo unakuwa kama wa mchongo.huyu mwamba yupo mbele ya muda mara zote hakutaka kutoa taarifa kamili Kwa makusudi anayoyajua mwenyewe.Aliweza kusema Kuna ndege itapata ajali hivi karibuni.akaishia hapo asiendeleze mbwembe nyingi za rangi sijui kukatika vipande viwili.Hapo Kila mmoja wetu akili isingetulia kujiuliza kuhusu yeye

Kaona mbali Zaidi namna ya kutuchanganya ni kutupa taarifa sahihi na ambazo sio sahihi 😂😂😂 . Bahati nzuri tumejaa kwenye mtego wake.Ila lazima tujue Dunia watu wanaishi kimipango haya matukio sio bahati mbaya ni vile wengi wetu hatujapata nafasi ya kutembea mbele ya muda.Kwa wataalam wanaita Time Travel
 
Watu wa Mungu hawatukani. Ona sasa huna imani na ajali imetokea kweli.
Soma hapo mithali imetaja sana neno mpumbavu kalagabaho

Methali 26:4-12 BHND​

Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi. Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia. Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu. Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Wamwona mtu ajionaye kuwa mwenye hekima? Nakuambia mpumbavu ni nafuu kuliko huyo.
 
Hukuwa na haja ya kumtukana jamaa kipindi hicho October maana hakuchukua hata mia yako kutabiri haya..[emoji3][emoji3]
Hakutukawa mbona neno mpumbavu kwenye biblia hasa mithali limetajwa sana wew ni mpagani?

Methali 26:4-12 BHND​

Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi. Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia. Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu. Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Wamwona mtu ajionaye kuwa mwenye hekima? Nakuambia mpumbavu ni nafuu kuliko huyo.
 
Ndge ya rangi nyekundu
Iatakatika katikati
Majeruhi na vifo

Taarifa kamili inasema hakuna vifo wala majeruhi
Na wewe ni mpumbavu kama mleta mada?
85% tambua ndoto ambayo mtu anatumia kama utabiri anakuwa na wenge ila ni mule mule tambua jamaa yuko really kabisa ... inawezekana kama kama tukio lipo kweli ila kama ingekuwa ndege iyo nyekundu exactly basi yangetokea hayo yote ila ndoto ni mule mule ..

Usidharau mambo ni ya kweli.
 
Mpumbavu ni nani kati ya wewe au yeye
Wewe na yeye wote wapumbavu

Back
Top Bottom