goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Umesikia wapi mkuu au Kuna chombo kinarusha breaking news hyi"Mungu ni mwema sana,Hatimae abiria wote 49 wametoka salama.
Heshima kwenu JESHI pamoja na wananchi kwa kazi nzuri,Mungu azidi kuwashindia.[emoji120][emoji120]"--Copy & Paste