Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Lakini alisema ndege itakua na lebo ya rangi nyekundu
Kwenye rangi kuna wajuvi wake. Inatosha kabisa bluu bahari mtu wa kawaida kukuambia ni nyeusi. Hoja kubwa hapa ni kutokea kwa ajali ya ndege. Mengine ni upinzani usio na maana. Tumpe heshima yake kwa kujaliwa kipawa ambacho ni nadra kwa mamilioni yetu
 
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Umetisha!
 
Back
Top Bottom