ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Mkuu tunaomba maoni yakoSema ni aina gani ya ndege la si hivyo huo ni uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaomba maoni yakoSema ni aina gani ya ndege la si hivyo huo ni uongo
Ha ha ha haUnavunja kwa kutumia nyundo au nini? Na hiyo damu ya yesu umeipata wapi? Halafu damu inafunika au unaipaka angani? Hivi unaweza kupaka rangi upepo?
Njooo utuelezeAfrica kumejaa pimbi sana, wenzako wako bise kujaribu kwenda kuishi anga za juu nyie mko bise na tabiri za kupimbi
Kosa lake ni nini?Acha uwakala wa shetani. Kila nafsi itaonja mazuri. Tambua nawewe hutoishi milele
Sawa. Kwa sasa unasemaje? Au umepotea kwa ndege?Hebu shuka hapo chini
Mit 26:4-12 SUV
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara. Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao. Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
MkuuManabii wa Uongo, huyo ni Agent wa shetani
Aiseee?Nilifanikiwa kwa asilimia kubwa
*ndege nyekundu no
*vifo na majeruhi no
*ndege kukatika katikati no
Taarifa kamili hakuna vifo wala majeruhi na ndege haijakatika katikati
Ushindwe mwenyewe na hizo keywords hapo juu
😊Kuna watu wanafuga majini alafu wanatengeneza mazingira waonekane wao watabiri. .Hii kiroho tunaitaje?
Je wewe ni mpumbavu?Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Aiyetangulia kuokolewa ni mtoto , then mchina , baadae mchina akapewa mtoto amshike ,akafuatiwa na mama mjamzito. Hii ni accorsing to yule mwokozi MajaliwaHajaenda mbali sana kukosea, tuseme alitabiri karibu na ukweli.
Hiyo logo ndotoni yaweza kutafsirika ama onekana kama ni nyekundu kweli.
Haijalishi hata kama kuokolewa walitangulia watu wazima, lakini na watoto walikuwepo!
Kikubwa tunaangalia kuwa ndoto ya maono juu ya: "ajali ya ndege ya hivi karibuni" imetimia kwa usahihi takribani %100.
Msimpe credit mtoa mada mana ni muongo km waongo wengine
Angekuwa anajua mambo ya mbele angesema direct kwamba ndege fulani, inatokea mkoa flan kwenda mkoa fulani,watakufa abiria kadhaaa,wapona kadhaa
Mazoezi ya kuua watu sio? Pumbavukumbe yalikua mazoezi
Duh!..Hivi kwa nini nyie watabiri huwa mnatoa habari nusu nusu? Kwa nini usitaje na jina la kampuni kabisa ili ndege husika izuiwe kusafiri?
Hiyo siyo salamu ya Kiislamu ni salamu inayotumika na wanaozungumza lugha ya kiarabu.Halafu ili kuutukanisha UISLAM unaanza na kutoa salam ya kiislam ili watu wajue mtoa mada kuwa ni muislam, na hayo ndio yanayo waaminisha watu kuwa waislam ni wapiga ramli,
Katika mafundisho ya kiislam hakuna mtu mwenye elimu ya jambo linalotarajiwa kutokea, huo ni USHIRIKINA, na nikinyume kabisa na uislam, km mnakuwa na mada zenu za kishirikina acheni kujinasibisha na uislam toeni tu salam zenu za kawaida, endeleeni na mambo yenu, inafahamika hili ni jukwa huru, ila msitutukanishie dini yetu.
Akikuambia kesho utoboi utarudi jukwaani chief[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]shida za kidunia....aniotee mambo flan flan,isije kua kuna sehem napoteza muda
Ntatumia huo muda kufanya tobaAkikuambia kesho utoboi utarudi jukwaani chief[emoji3][emoji3][emoji3]
Nabii akubariki nyumbani hongera sanaNaona UTABIRI UMETIMIA 6/11/2022 MUNGU awape PUMZIKO marehemu wetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ntatumia huo muda kufanya toba