Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu yakizidi kamuone prof Janabi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata kule nawa support tyuuu, hata sihusiki na kada ile mie.
Na pia bado muda wangu wa kupambana na ajira.
Unajua me nilikuwa nadhani utakuwa na umri mkubwa sana.
 
tehe,,tehe,, haaa''haya bwana.
ubingwa msimu huu mtabeba kwa maumivu kwa kipigo kitukufu.ubingwa mchungu wenye mateso ya kupata aibu kubwa Lupaso.
Labda mumroge mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…