Kama upo serious kweli, na naamimini unahitaji fedha pia, weka mzigo kwenye kampuni yoyote ya betting, na utabiri wako (wa kwenye kioo) utakulipa kweli kweli. Chukua tu kama sh. laki mbili uweke, utapata zaidi ya sh. milioni 15Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Vyura fc wana shida sanaKwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347
Hata kwenye Yanga Vs Geita Gold kuna ukweli unaoweza kuusemaHamtaki tuseme ukweli...
Nipo hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawewe ni mnyama kumbeNipo hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapn mkuu.....hizo kamali ni haramuKama upo serious kweli, na naamimini unahitaji fedha pia, weka mzigo kwenye kampuni yoyote ya betting, na utabiri wako (wa kwenye kioo) utakulipa kweli kweli. Chukua tu kama sh. laki mbili uweke, utapata zaidi ya sh. milioni 15
Time Will tell....msije sema hatukuwaambiaIlivyokuja al ahly mlisema tunafungwa mara mbili ya walizotufunga kwao walivyokuja hapa hata shot on target walikosa na kupoteza mchezo tena walikuwa katika kiwango bora kabisa maana walifungwa na SIMBA na Bayern Munich tu kwa kipindi kile unalosema linawezekana ila sio kwa mkapa .
kwa imani gani?Hapn mkuu.....hizo kamali ni haramu
Shirikisho Afrika, yaani CAF CCKombe gan tena
Ukweli ndio huoUtabiri wako unaonesha wa nyumbani anashinda goli 5