Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kama upo serious kweli, na naamimini unahitaji fedha pia, weka mzigo kwenye kampuni yoyote ya betting, na utabiri wako (wa kwenye kioo) utakulipa kweli kweli. Chukua tu kama sh. laki mbili uweke, utapata zaidi ya sh. milioni 15Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0