Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

Mimi nawatahadharisha CAF ambao wataleta hizi mashine za VAR, ikiwezekana wawalete na walinzi special kwa ajili ya ulinzi wa VAR maana hakuna Timu Ina mashabiki wezi, waporaji, wang'oa viti kama Makolo.. Naamini CAF wasipokuwa makini hizi mashine za VAR zote zitaibwa na Mashabiki wa Simba, coz hii match wanaenda kupoteza kwa mabao mengi sana maana Yale magoli Yao ya Offside hayatokuwepo tena dadeq.
Ushahidi adhim kabisa upo na tumeona hata kwenye match zao za makundi kule Morocco, Sijui huko Instan bull Kuna vifaa vingi vilipotea ndani ya uwanja na ni dhahiri kuwa wachezaji wa Kolo FC waliiba. Tahadhari ni muhimu isije ikatokea kama ya kule Nigeria Kikosi cha Simba, benchi lao la ufundi na Mashabiki wote ni wezi sana[emoji16][emoji16]
Kabsa mkuu.....tuwaombe CIA walete walinz special
 
Kwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania

Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0

Leo asubuhi pia nmeota

Orlando pirates 5___0 simba

Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR

Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347
Hilo silipingi. Hata mimi ndoto niliyo nayo the same to yours. Tusubiri matokeo. Tutarudi hapa kukamilisha ndoto.
 
Kuna utopolo mwenzako juzi alitabiri kwamba Simba anafungwa na US Gendermarie hadi akatoa laki mbili kwa sheikh ili amfanyie utabiri. Aliahidi mambo mabaya endapo simba atashinda.

Kilichotokea Gendermarie alivutishwa pumzi ya moto kwa kipigo cha mbwa koko 4 kwa bila.

Burudani inayotolewa na Simba hadi CAF wamenogewa wakaamua kuruhusu mashabiki 60,000 full house kuishangilia Simba.
Huyo hakutabiri vzr mkuu....
 
Mimi nawatahadharisha CAF ambao wataleta hizi mashine za VAR, ikiwezekana wawalete na walinzi special kwa ajili ya ulinzi wa VAR maana hakuna Timu Ina mashabiki wezi, waporaji, wang'oa viti kama Makolo.. Naamini CAF wasipokuwa makini hizi mashine za VAR zote zitaibwa na Mashabiki wa Simba, coz hii match wanaenda kupoteza kwa mabao mengi sana maana Yale magoli Yao ya Offside hayatokuwepo tena dadeq.
Ushahidi adhim kabisa upo na tumeona hata kwenye match zao za makundi kule Morocco, Sijui huko Instan bull Kuna vifaa vingi vilipotea ndani ya uwanja na ni dhahiri kuwa wachezaji wa Kolo FC waliiba. Tahadhari ni muhimu isije ikatokea kama ya kule Nigeria Kikosi cha Simba, benchi lao la ufundi na Mashabiki wote ni wezi sana[emoji16][emoji16]
Uto kwa kujishaua tu hamjambo.
IMG-20220409-WA0024.jpg
 
Yaani mtu mzima mwenye akili timamu mwenye mapenzi na nchi yake anaweza kuposti kitu kama hiki
Na hata kama umshabiki wa Yanga unatakiwa ujue faida za timu kuwaakilisha taifa bila kujali ni timu gani
Mimi sio mshabiki wa Simba ila naifuatilia Simba kwa sasa kama mwakilishi wa Taifa
Natamani upate ban ya miezi tatu!!! uli ujifunze!!
Mmi ni shabiki mkubwa wa Simba.....ila lazma niseme ukweli
 
Hilo silipingi. Hata mimi ndoto niliyo nayo the same to yours. Tusubiri matokeo. Tutarudi hapa kukamilisha ndoto.
Kabsa mkuu.....vjana hawataki kukubali maono
 
Back
Top Bottom