Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

Baada ya kubahatisha uzi wa kwanza ni bora ungeacha kutabiri ili kutojishushia heshima yako. Watu waliona pengine una maono wakakusubiria uje na uzi mwingine wa Yanga vs TP Mazembe na Simba vs Raja. Ukaja na uzi ambao ukawepeleka watu chaka mno, Simba uliyempa sare akagalagazwa, na Yanga akashinda vile vile.
Punguza kunifatilia kama natabiri chaka vinginevyo kalalamike kwa mumeo
 
We mxenge uliniingiza chaka na utabir uchwar wako nikachoma mkeka wangu pmbvu
 
Utabiri ni rahisi ukiangalia jinsi timu zinacheza.

Iwapo Yanga itapanga kikosi tulichomuua Tp Mazembe tutashinda. Niliona Bangala akikaa katikati ya dimba na kufanya mabeki kuwa watano mpira ukija upande wa Yanga na kufanya viungo watatu mpira ukienda mbele! Ile technique TP Mazembe hawakuiweza first half ila second half walipata nguvu Bangala alipokata pumzi. Nabi ni Professa wa fomesheni inatakiwa TFF wasione aibu Nabi apewe vipindi Kufundisha semina za ukocha muda huu Yuko hapa bongo tumtumie tujifunze ukocha. Huyu Nabi si wa mchezo hii Yanga zamani ikiitwa utopolo sisi wa matopeni tunapigwa kama Ngoma eti Leo Yanga tunatisha kweli kweli.kila mpinzani anatetemeka akimuona Aucho na Musonda Huku Aziz Ki kule Mayele maji utaita mma!

Simba tunajua hamna Kitu msimu huu ni mashati tu yanapepea uwanjani hata Azam tu Kidogo wawaue kama si kupewa Zawadi ya dakika za refa!

Simba watafungwa mechi zote home and away na kushika mkia kwenye kundi lao. Huu si utabiri ni fact maana timu ya ushindani Makolo fc hawana

Ukikaa kibanda umiza wakati Yanga ikitandaza kandanda safi utaona wanasimba wanavyohangaika hawatulii wanaongea Yanga anapigwa Sasa Hivi Yanga anakufa Sasa Hivi Yanga anapasuka Sasa Hivi wanaruka ruka kwa furaha mara ghafla Aziz Ki anaachia kombora Kali linamuua kipa hapo hapo na kuwa gooooal jamaa wanaanza kulia machozi kabisa hadi wanatia huruma si tunabaki tunawashangaa tu maana Sasa timu ya Yanga imejaa mafundi na inacheza possession football Sasa inafungwaje kwa move kwa mfano? Hata ije Brazil sijui Bayern , Abajalo, Faru Dume, JKU, Vitalo, Al Ahly, Kaizer Chiefs, Cape Verde, Morocco, Argentina, Arsenal, Man City au hata Juventus na AC Milan watakufa tu Labda kuifunga Yanga ni kwa Faulo tu tena timu ikijisahau. WanaSimba poleni sana Yanga Ina kikosi imara chenye uchu wa ushindi kama mbwa wa polisi anaesaka mhalifu Huwa unaona anavyotoa ulimi nje na kuhema ndio Yanga hiyo hatufungwi ng'o , mbona mbumbumbu fc mnahangaika sana , hebu na iwakae akilini Sasa kuwa Yanga ni unbeaten team. Mtakufa na presha za kujitakia!

Yanga inatisha for now. Hebu mtazame usoni Jesus Moloko unaona kabisa uchu wa kushinda mechi umemjaa hadi unamwagika , muangalie usoni Musonda alipowapiga goli Tp Mazembe alikaribia kuua mtu kwa furaha, muangalie Aucho akiwa kazini anatisha usoni ni jemedari wa vita, muangalie Mayele muda wote anawinda aue mtu , mcheki Aziz Ki, Kisinda yaani unaona kabisa nyuso zao jamaa wako vitani na hawataki sare ni ushindi tu, Kila ukiwarudisha nyuma dakika mbili tu tayari wamejaa Tena golini kwako hadi uoneshe pesa umeweka wapi.

Simba 🦁 iliwapiga vibonde watupu kuingia makundi tukaongea sana kuhusu Hilo tukapuuzwa Sasa Simba imekutana na vigingi tupu kama kwa mfano Simba ndo Mandonga sasa akutane na Tyson wa enzi zile ni balaa tupu na leo tunajua Simba atapasuka 3 bila majibu jamani anaebisha au anaetaka Kunitukana maana ndicho mmebaki nacho aje Mi nimekaa paleee kwenye chimbo langu kijiwe Cha draft Manyanya kama kawaida nawazoom tu Mbumbumbu fc Huku gah-wa yangu ikishuka tartiiiiiiiibu!

Nawatakia Wanasimba wote siku nzuri yenye furaha angalau "wa kimataifa" wapate hata goli moja tu la Boko maana kupata pointi hawataweza😂
 
Utabiri ni rahisi ukiangalia jinsi timu zinacheza.

Iwapo Yanga itapanga kikosi tulichomuua Tp Mazembe tutashinda. Niliona Bangala akikaa katikati ya dimba na kufanya mabeki kuwa watano mpira ukija upande wa Yanga na kufanya viungo watatu mpira ukienda mbele! Ile technique TP Mazembe hawakuiweza first half ila second half walipata nguvu Bangala alipokata pumzi.

Simba tunajua hamna Kitu msimu huu ni mashati tu yanapepea uwanjani hata Azam tu Kidogo wawaue kama si kupewa Zawadi ya dakika za refa!

Simba watafungwa mechi zote home and away na kushika mkia kwenye kundi lao. Huu si utabiri ni fact maana timu ya ushindani Makolo fc hawana

Ukikaa kibanda umiza wakati Yanga ikitandaza kandanda safi utaona wanasimba wanavyohangaika hawatulii wanaongea Yanga anapigwa Sasa Hivi Yanga anakufa Sasa Hivi Yanga anapasuka Sasa Hivi wanaruka ruka kwa furaha mara ghafla Aziz Ki anaachia kombora Kali linamuua kipa hapo hapo na kuwa gooooal jamaa wanaanza kulia machozi kabisa hadi wanatia huruma si tunabaki tunawashangaa tu maana Sasa timu ya Yanga imejaa mafundi na inacheza possession football Sasa inafungwaje kwa move kwa mfano? Hata ije Brazil sijui Bayern , Morocco, Argentina, Arsenal, Man City au hata Juventus na AC Milan watakufa tu Labda kuifunga Yanga ni kwa Faulo tu tena timu ikijisahau. WanaSimba poleni sana Yanga Ina kikosi imara chenye uchu wa ushindi kama mbwa wa polisi anaesaka mhalifu Huwa unaona anavyotoa ulimi nje na kuhema ndio Yanga hiyo hatufungwi ng'o , mbona mbumbumbu fc mnahangaika sana , hebu na iwakae akilini Sasa kuwa Yanga ni unbeaten team. Mtakufa na presha za kujitakia!

Yanga inatisha for now. Hebu mtazame usoni Jesus Moloko unaona kabisa uchu wa kushinda mechi umemjaa hadi unamwagika , muangalie usoni Musonda alipowapiga goli Tp Mazembe alikaribia kuua mtu kwa furaha, muangalie Aucho akiwa kazini anatisha usoni ni jemedari wa vita, muangalie Mayele muda wote anawinda aue mtu , mcheki Aziz Ki, Kisinda yaani unaona kabisa nyuso zao jamaa wako vitani na hawataki sare ni ushindi tu, Kila ukiwarudisha nyuma dakika mbili tu tayari wamejaa Tena golini kwako hadi uoneshe pesa umeweka wapi.

Simba 🦁 iliwapiga vibonde watupu kuingia makundi tukaongea sana kuhusu Hilo tukapuuzwa Sasa Simba imekutana na vigingi tupu kama kwa mfano Simba ndo Mandonga sasa akutane na Tyson wa enzi zile ni balaa tupu na leo tunajua Simba atapasuka 3 bila majibu jamani anaebisha au anaetaka Kunitukana maana ndicho mmebaki nacho aje Mi nimekaa paleee kwenye chimbo langu kama kawaida nawazoom tu Mbumbumbu fc!
Mkuu umemaliza kila kitu.

Daima mbele....
 
Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki.

Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
Viceversa inawezekana pia timu mangungu wa msowero
 
Back
Top Bottom