Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

Halafu haya maneno ya Ubaya Ubwela tuyafute, binafsi kama Mwanasimba sikuona tija kuyatumia
 
Kwamba ni Mzee wa figisu
Kwa figisu ni hatari,wewe uliona wapi kwenye mpira timu ikawa na kocha msaidizi wa kudumu ambae hawajibiki na matokeo.......
Huyo ni sawa na Idd nassoro 'cheche' alikuwa kocha msaidizi wa muda mrefu sana pale kwa waoka mikate wa dar es salaam.
 
7 - stop
7 - stop
7 - stop
7 - stop
8 - kwangu
8 - kwangu
J - Naomba Mavi
Last card
3 - Nimemaliza.
 
Itachukuwa mwaka mwingine simba kufikia ile ya 2017-2020.

Unaona kabisa wachezaji hawana speed, wanacheza kichovu sana...tabora walikuwa na makosa mengi sana....ilipaswa kuadhibiwa sana...
Unawajua vizuri tabora wewe? Muulize gamondi atakupa habari zao.
 
Back
Top Bottom