Utabiri: Simba kesho tarehe 03 Aprili 2021 itafungwa na AS Vita

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
917
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.

#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA
Updates: mpira umeisha hongera timu yangu ya simba kwa kutinga robo fainali. Uzi umefungwa utopolo mtaisoma namba kwakweli mwaka huu
 
sawa
255754319347_status_417f91f793cd416298d2a6bfbf8ec6dd.jpg
 
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya As vita.naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu. #Simba nguvu1
Wewe ni nyani
FB_IMG_1616853117648.jpg
 
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya As vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu. #Simba nguvu1
Acha gundu wewe
 
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.

#Simba nguvu1
Lini uliwahi itabiria Simba ingepata results nzuri kwa mkapa? Jibu unalo so endelea kujifurahisha nafsi tu na hamchoki na Sara fake tu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mungejipaanga na kumlipia Faini Kilo 800 ingekuwa bora zaidi
 
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.

#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA
Wewe ni utopolo, ukome kujifanyia

Wewe ni utopolo tu!! Ukome kujifanya mwana simba!
 
Kweli wamefungwa 1 kwa 3

Back
Top Bottom