Wewe ni nyaniMimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya As vita.naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu. #Simba nguvu1
Acha gundu weweMimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya As vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu. #Simba nguvu1
Mkuu hii si aina nyingine ya uchawi?Acha gundu wewe
Lini uliwahi itabiria Simba ingepata results nzuri kwa mkapa? Jibu unalo so endelea kujifurahisha nafsi tu na hamchoki na Sara fake tuMimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.
#Simba nguvu1
Ndio mkuuMkuu hii si aina nyingine ya uchawi?
Mkuu hii si aina nyingine ya uchawi?
Wewe ni utopolo, ukome kujifanyiaMimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.
#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA
Wewe ni utopolo tu!! Ukome kujifanya mwana simba!Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.
#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.
#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA