UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

Ile sio Kagame cup mzee
 
Watu wa utopolo bana,
Ndo maana mnaongea pumba t humu hamna mnachoelewa,
Huyo kaizer yuko wapi hadi aanzie hatua ya pili unajua kamaliza nafasi ya ngapi kwenye league yao
 
Wewe ndio unaubaka, fuatilia ujue unacheza na nani kutinga makundi. Mbona kila kitu kiko wazi, nn shida baba mkwe?
Ili kucheza makundi Simba atacheza na nani kwa faida ya wengi?
 
Kaizer hayupo kwenye mashindano kabisa mkuu
 
Malalamiko fc, kwa hiyo CAF inaipendelea simba?
 
Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.

Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Wewe bila shaka ni utopolo umeona tayari mambo magumu Sasa unajifariji kwamba hata Simba hafiki makundi.

Mnyama siyo level yenu, nyie bado mko katka hatua ya klabu zinazokua au kuchipukia. Na mkitaka kufanikiwa mkubali hilo mtulie mjenge timu yenu. Poleni Misukule.
 
Yanga mafanikio yenu ya soka yapo mwanaspoti siyo uwanjani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
TATIZO Manara, tungewaombea watani lkn shida ni Manara, wakishinda mji hautakalika. Si unaona baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali na Wanaija, kwani unasikia kelele mjini. Tulivu kabisa.

Hebu fikiria wangeshinda, ule msukule ungehama redio na tv moja kwenda nyingine ukiharisha na kunya hovyo.
 
Hakuna nafasi ya heshima. Mtu kwenye ligi yako uko nafasi ya 8 uko utachezaje kombe la machampioni?

Simba Ni wakubwa ktk misimu 3 wamefika robo fainali mara 2.

Ila Utopolo alifika fainali kombe la mapinduzi.
 
Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.

Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Weka hapa sababu za Simba kutofika hatua ya makundi
 
Sijawaona simba msimu huu, ila kwa hatua inayoanzia na aina ya wapinzani wake, simba kuingia makundi ni suala la kawaida tu, kwenye kuvuka makundi hapo ndipo kazi ipo.
Ila makundi ni costant K
 

Kaizer ligi yao kamaliza wa 8. Na ligi yao inaruhusiwa kuingiza timu 2 ambazo ni wa kwanza na wa pili tu. Kaizer angetwaa kombe mshindi wa pili angetoswa na kaizer angeenda kama bingwa mtetezi. Bahati mbaya hajatwaa kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…