UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

Hapana!

Simba anacheza hatua ya kwanza. Hatocheza tu preminary stage. Timu zitakazofuzu zitapangiwa kukutana na Vigogo ikiwemo Simba. Kisha makundi. Akitolewa anaenda Shirikisho.

Lakini, kwa anachokisema asahau Simba kutolewa hatua za awali. Simba sasa ni lazima afike robo fainali.

Lakini kwa Utopolo, inawezekana kabisa asitoboe. Lakini nawaombea kwa mustakabali wa soka la nchi yetu.
Mkuu una hari gani ulipo
 
Timu imejaa wazee wasiojitambua, hawaijui hata game management? unaongoza 3-0 aggragate unafeli wapi?

Napenda shirikisho wapewe muarabu watoke kabisa huko hawana maana.
 
Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.

Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Hahaha bongo wachawi wengi sana
 
Hapana!

Simba anacheza hatua ya kwanza. Hatocheza tu preminary stage. Timu zitakazofuzu zitapangiwa kukutana na Vigogo ikiwemo Simba. Kisha makundi. Akitolewa anaenda Shirikisho.

Lakini, kwa anachokisema asahau Simba kutolewa hatua za awali. Simba sasa ni lazima afike robo fainali.

Lakini kwa Utopolo, inawezekana kabisa asitoboe. Lakini nawaombea kwa mustakabali wa soka la nchi yetu.
!!???
 
Back
Top Bottom