Mimi ni mwana Yanga kindakindaki. Naomba Mungu sana Rivers watutoe. Hii itasaidia kuendelea kuijenga na kuiunda timu yetu.
Kwasasa,Yanga bado sana kimataifa. Na ni muda sana hatujashiriki.....so baada ya msimu huu ndo at list tunaweza pambana.
Simba nao....wanaweza wakaingia makundi....ila kwanza wakubali msimu uliopita ilikua fluku.
Wakienda kwa kichwa kuwa wao ni wakubwa,hatua ya kwanza out.
Pia CAF wawe fea,yaani Kaizer kafika hadi final,lakini Simba anaambiwa aanze round ya pili. Wangempa nafasi japo kwa heshima tu ya kufika fainali.
Sent using
Jamii Forums mobile app