UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

Timu imejaa wazee wasiojitambua, hawaijui hata game management? unaongoza 3-0 aggragate unafeli wapi?

Napenda shirikisho wapewe muarabu watoke kabisa huko hawana maana.
Ushabiki pembeni.. am curious.! Binafsi niliamini Simba wanaenda kupiga mabomu mochwari hasa nikizingatia Botswana ligi imesimama tangu 2020, na msimu wa 2020/2021 hakukuwa na ligi kabisa!!

Hata hawa Galax, ni "bingwa" wa 2019/2020, tena alipewa tu hiyo nafasi kwa sababu ndo alikuwa anaongoza ligi huku zikiwa zimesalia mechi kibao!

So, what exactly happened?! Nilisikia Makolo wanaongoza 1-0, naingia JF nika-view post titled "Kutolewa kwa Simba"... nikajua utani!!
 
Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji ameushauri uongozi wa klabu hiyo kuwachukulia hatua madhubuti waliohusika Simba kupoteza mchezo wa leo na kutolewa Klabu Bingwa Afrika, na kwamba kilichotokea hakikubali.

Simba imetolewa kwenye mashindano hayo na Jangwen Galaxy ya Botswana. https://t.co/uw2QjlZDdD
 
😃😃😃😃
 
Ni suala la kawaida, au sio
Sijawaona simba msimu huu, ila kwa hatua inayoanzia na aina ya wapinzani wake, simba kuingia makundi ni suala la kawaida tu, kwenye kuvuka makundi hapo ndipo kazi ipo.
Ila makundi ni costant K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…