Pure Gentleman
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 351
- 871
Akiwa ni huyo Bashungwa wewe inakusaidia nini? Au ni Mhaya mwenzio? Utawala haramu unaojihujumu wenyewe ndani kwa ndani utasimamaje na kuleta mabadiliko?
Mara Tulia. Mara Biteko. Mara Mkumbo. Mara Kadogosa. Mara Mchengerwa. So what? Kuna ye yote hapo atakayeleta impact yo yote kwenye maisha yako kama utawala wenyewe ndiyo huu huu uliojaa damu na mifumo ni hii hii inayoongozwa na mtu mmoja tu?