Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
🤣🤣🤣 Magaidi hewa na wakubumba?Hata magaidi wa kibiti mliwatetea
Process ni kuwabadilishia mshtaka ambayo yanadhaminika kisha wapate dhamana. Kesi imehamishiwa Mahakama kuu.Mashekhe hawatoki leo wala kesho. Bahati mbaya hata Wanzanzibar wenyewe hawawatetei ndugu zao...
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
MSIHAMISHE MAGOLI, KWANZA ATUAMBIE HAYAMATUSI YA KUTUKANA WATUMISHI WA UMA NDIO ILANI YA CHAMA CHENU??Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Hakika.Upinzani kupinga kila kitu ndiyo mtaji wenu, ndiyo kula yenu na ndiyo uhai wenu.
Mkisema mazuri yanayofanywa mtakula nini? Suala la kibiti mlioponda serikali mkawatetea magaidi.
Tukaja kwenye Corona mkamponda magufuli.
Sio kwamba mnaponda kwasababu hafanyi kazi nzuri ila ndiyo kula yenu na kuwepo kwenu. Hongera saana wapinzani.
Mkuu na wewe upo kwenye Timu ya Propaganda!?MSIHAMISHE MAGOLI, KWANZA ATUAMBIE HAYAMATUSI YA KUTUKANA WATUMISHI WA UMA NDIO ILANI YA CHAMA CHENU??
WATUMISHI WANAHASIRA USIPIME.
MAJIBU YAO NIKWENYE SANDUKU LA KUPIGIA KURA.
[SUB]UAMSHO watoke, ili wawasaidie kufanya fujo Pemba ee![/SUB]Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Mbona wale wabakaji mliwatoaHata magaidi wa kibiti mliwatetea
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
SijaribiwiKwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.