Utabiri: Tundu Lissu kuwatoa mahabusu mashehe wa uamsho kabla ya tarehe 28/10/2020

Utabiri: Tundu Lissu kuwatoa mahabusu mashehe wa uamsho kabla ya tarehe 28/10/2020

Ila kweli kwa sababu kuwatoa wana uhamsho lokapu hicho kitu hakipo hadi chama kingine kiingie madarakani maana hao kutoka ni ndoto. Jakaya mwenyewe aliwaacha, hata Magu atawaacha.
uhamsho walikuwa noma
Siyo UHAMSHO ni UAMSHO.
 
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.

Niliwahi kuuliza hivi humu
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?!.

Majibu ya swali hili ni tarehe 28 October,
Kuna mtu atalia na kuna mtu atacheka!. He who cries last cries most, and he who laughs last laugh most!.
P
Ndicho ulichobakisha, kazana.
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Kweli kabisa watatoka,maana ngosha kila analosema Lissu jamaa analifanya
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali ...na kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo...

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.

"Too late" kwa Lissu kubadilika kifikra na kitabia. Tabia ya kiburi, dharau na chuki ndiyo inayojitokeza hadharani kwenye kampeni zake.

"Too late" kwa Lissu kutambua kuwa yuko kwenye kampeni. Kwamba hayo majukwaa ni ya kisiasa kunadi sera na siyo mahakamani kutoa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa.

"Too late" kwa Lissu kutambua kuwa kama barabara zingekuwa mbovu asingeweza kumudu kufanya kampeni kila kona ya nchi. Hayo ndiyo maendeleo wapiga kura wanataka kusikia. Barabara mbovu ndiyo moja ya kero kubwa ya wapiga kura.

"Too late" kwa Lissu kutambua kuwa hoja yake ya haki na uhuru anaijua yeye mwenyewe kichwani. Hoja yake ni nadharia ya kisomi inayopaswa kujadiliwa kwenye makongamano ya kimataifa na wasomi waliobobea. Hajatambua kuwa wateule (madiwani na wabunge) wa chama chake wataongelea maendeleo ya vitu ili waeleweke na wapiga kura.

"Too late" kwa Lissu kukumbuka kuwa CCM inafanya kampeni kila kata, jimbo na Taifa wakiwa na Ilani inayohusu maendeleo ya eneo husika. Yeye anazunguka nchi na mgombea mwenza na baadhi ya wabunge wake wateule km Mwanza alikuwepo Lema.

Kwamba ataibiwa kura ni dhahiri amekwisha kujiibia kura kwa kukosa mikakati sahihi ya kushawishi wapiga kura.
 
Tuliwaambia ccm 2017 hili la kuzuia watu kufanya siasa litakusumbueni awakusikia waliamini dola check Sasa wanashindwa jibu hoja za wapinzani sababu ni nyingi Sana zikirushwa kila Kona, Rungwe baada ya kuinanga awamu kapigwa marufuku kulisha watu ubwabwa. Ccm wameongea pekee yao 5yrs wakiamini wanauwa upinzani, hawana kipya cha kuwaeleza wananchi yote ni marudio ya walioyaongea 5 yrs ndege, sgr, flyover, mabeberu, corona huku wananchi wakiwa na hamu kubwa Sana kutaka kusikia mapya toka kwa wapinzani.Wamechanganyikiwa bila wasanii atabaki slow pekee jukwaani, kizazi cha sasa kinataka mabadiliko.
Wamefanya makubwa mengi ni vipaumbele vyao na sio vya wananchi bado awajagusa vipaumbele vya wananchi
 
Lisu anawapelekesha ccm na Magufuri Mpaka Magufuri Jana Rorya kusahau kumuombea ubunge mbunge wa CCM akamuombea wa Chadema Ezekiel Wenje mara nne Mpaka akastuliwa , laana ya baba Taifa kumlazisha mkewe mambo ya ajabu.
Screenshot_20200906-113817.png
 
Asiyeweza tengeneza amani na umoja kwenye familia yake ataweza vipi tengeneza amani ya taifa
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Kwakweli kauli mbiu ya Uhuru ,haki na maendeleo Inafaa kwani vitu hivi vinakosekana kwa wenye macho ya kuona na masikio ya kusikia.Ila kwa vipofu wakujidai na viziwi wakujidai hawa kwao sii chochote Wala lolote.
 
Hata magaidi wa kibiti mliwatetea
Kuna gaidi gani alipekekwa mbele ya sheria na akafungwa?.
Lakini pia kama mashehe wana kesi ya kujibu ni kwa mini wasihukumiwe miaka yote hiyo wanasota rumande kwa kisingizio cha upelelezi haujakamilika.
Kama upelelezi haujakamilika basis waachiwe huru,pindi ukikamilika wakamatwe tena.
Justice delayed,justice denied.
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Yote atakayofanya sasa hivi kama "reaction" kwa TL itaitwa rushwa.
 
Lisu anawapelekesha ccm na Magufuri Mpaka Magufuri Jana Rorya kusahau kumuombea ubunge mbunge wa CCM akamuombea wa Chadema Ezekiel Wenje mara nne Mpaka akastuliwa , laana ya baba Taifa kumlazisha mkewe mambo ya ajabu.View attachment 1560360
Kama kweli wafuasi wa CHADEMA humu JF wanapenda kiingie Ikulu kwa maana ya Lissu awe Rais, washauri:
√ Lissu aachane na nadharia zake za kisomi. Sasa hivi Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanapita kusafisha upupu na upuuzi anaosena kwenye maeneo aliyopita.
√ Lissu aachane na kujenga chuki kati ya viongozi wa Serikali na jamii (wapiga kura). Wanamsikikiza na kumdharau kwa kauli zake.

Bado hajachelewa
 
Hivi nyie suala la mashehe wa uamsho mnalichukulia poa eeee Humuoni kinachotokea Msumbiji. Nyie ni kuyumba yumba tu.
 
Back
Top Bottom