nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Ccm kwakuona nchi inakwenda upinzani watawatoa kabla ya uchguzi ili kujiosha.Ila kweli kwa sababu kuwatoa wana uhamsho lokapu hicho kitu hakipo hadi chama kingine kiingie madarakani maana hao kutoka ni ndoto. Jakaya mwenyewe aliwaacha, hata Magu atawaacha.
uhamsho walikuwa noma
Kumbuka vitambulisho vya machinga kidogo viwafukuzishe kazi Dcs nk
Baada ya Lissu kuvitaja kwenye kampeni zake, Mkulu nae akajibu kuwa vitambulisho vya machinga siyo lazima