Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Siyo UHAMSHO ni UAMSHO.Ila kweli kwa sababu kuwatoa wana uhamsho lokapu hicho kitu hakipo hadi chama kingine kiingie madarakani maana hao kutoka ni ndoto. Jakaya mwenyewe aliwaacha, hata Magu atawaacha.
uhamsho walikuwa noma
Ndicho ulichobakisha, kazana.Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.
Niliwahi kuuliza hivi humu
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?!.
Majibu ya swali hili ni tarehe 28 October,
Kuna mtu atalia na kuna mtu atacheka!. He who cries last cries most, and he who laughs last laugh most!.
P
Kweli kabisa watatoka,maana ngosha kila analosema Lissu jamaa analifanyaKwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali ...na kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo...
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Jaaamaa yenu katukana live hiyoo ni propaganda??Mkuu na wewe upo kwenye Timu ya Propaganda!?
Kama ndio tafuta mada nyingine ...!
Kweli kabisa watatoka,maana ngosha kila analosema Lissu jamaa analifanya
Kwakweli kauli mbiu ya Uhuru ,haki na maendeleo Inafaa kwani vitu hivi vinakosekana kwa wenye macho ya kuona na masikio ya kusikia.Ila kwa vipofu wakujidai na viziwi wakujidai hawa kwao sii chochote Wala lolote.Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Kuna gaidi gani alipekekwa mbele ya sheria na akafungwa?.Hata magaidi wa kibiti mliwatetea
Yote atakayofanya sasa hivi kama "reaction" kwa TL itaitwa rushwa.Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Huyu jamaa vipi? Afisa elimu bila Elimu?
Kama kweli wafuasi wa CHADEMA humu JF wanapenda kiingie Ikulu kwa maana ya Lissu awe Rais, washauri:Lisu anawapelekesha ccm na Magufuri Mpaka Magufuri Jana Rorya kusahau kumuombea ubunge mbunge wa CCM akamuombea wa Chadema Ezekiel Wenje mara nne Mpaka akastuliwa , laana ya baba Taifa kumlazisha mkewe mambo ya ajabu.View attachment 1560360
Hakuna gaidi kibiti, it was dirty politicsHata magaidi wa kibiti mliwatetea
Magaidi waliotengenezwa, mbona hatujaona waliokamatwa na kufikishwa kwa pilato?Hata magaidi wa kibiti mliwatetea
Mtumwa ana kauli mbele ya bwana wake?Mashekhe hawatoki leo wala kesho. Bahati mbaya hata Wanzanzibar wenyewe hawawatetei ndugu zao...