Utabiri: Tundu Lissu kuwatoa mahabusu mashehe wa uamsho kabla ya tarehe 28/10/2020

Ila kweli kwa sababu kuwatoa wana uhamsho lokapu hicho kitu hakipo hadi chama kingine kiingie madarakani maana hao kutoka ni ndoto. Jakaya mwenyewe aliwaacha, hata Magu atawaacha.
uhamsho walikuwa noma
Ccm kwakuona nchi inakwenda upinzani watawatoa kabla ya uchguzi ili kujiosha.
Kumbuka vitambulisho vya machinga kidogo viwafukuzishe kazi Dcs nk
Baada ya Lissu kuvitaja kwenye kampeni zake, Mkulu nae akajibu kuwa vitambulisho vya machinga siyo lazima
 
Chadema mtavuna nini kwa mfano, huku majimboni ni uozo mtupu mliofanya kazi kula tu hela za mifuko ya majimbo. Chama pekee chenye uwezo wa kuisaidia Tanzania kwa sasa na miaka ijayo ni CCM pekee. Hivyo kura zote kwa JPM, wabunge wa JPM, na madiwani wa JPM.
 
Hakunaga mwana hip hop yuko CCM wewe ni zuchu bro huna hoja toka umeanza kutetea watekaji umekuwa kama Empty morph.
 
Malaria 2 njoo huku na uzushi wako
 
THE BIG SHOW na Malaria 2

..Mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni.

..sasa someni comment za wana-Ccm kipindi ambacho Lissu alikuwa akiwapambania Mashehe waliokuwa magereza.
Hawaoni hata aibu na Mpuuzi wao Sheikh Mwaipopo.

Lissu anasimamia haki haangalii dini. Hawa wapuuzi THE BIG SHOW na huyu Malaria 2 kwa chuki zao tu humu na wenzao mapandikizi ya CCM yanafikiri Wananchi watawaelewa kwa propaganda zao za kipuuzi.
 
Hii iliishia wapi??
 
Hawaoni hata aibu na Mpuuzi wao Sheikh Mwaipopo.

Lissu anasimamia haki haangalii dini. Hawa wapuuzi THE BIG SHOW na huyu Malaria 2 kwa chuki zao tu humu na wenzao mapandikizi ya CCM yanafikiri Wananchi watawaelewa kwa propaganda zao za kipuuzi.

..kujitoa kote huku kwa Lissu kutetea Mashehe waliokuwa kizuizini, leo Shekhe Mwaipopo anahimiza Lissu atiwe kitanzi?!

Cc Malaria 2
 
Waliwekwa ndani na waislamu wenzao maraisi Raisi Shein na Kikwete mkristo mia nguruwe Lisu ndio awatoe walioshindikana kwa waislamu wenzao?
Haki haina dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…