Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hujawahi kumsikia Sheikh Hasina?Sasa ushasema sheikh anakuwaje mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kumsikia Sheikh Hasina?Sasa ushasema sheikh anakuwaje mwanamke
Hakunaga sheikh mwanamkeHujawahi kumsikia Sheikh Hasina?
Bangladesh, Sheikh HasinaHakunaga sheikh mwanamke
Ni kama padri mwanamke umemuona wapi?
Basi nikwambie tu hakuna sheikh mwanamke katika uislamuBangladesh, Sheikh Hasina
vipi kuhusu sheikhat?Ustadhat hawezi kuwa sheikh mkuu??
Sheikh Hasina is a prominent Bangladeshi politician and the current Prime Minister of Bangladesh, having held the position since January 2009. She is the longest-serving prime minister in the history of Bangladesh. Hasina is the leader of the Awami League, a major political party in the country, and has played a crucial role in the country's politics, especially in promoting economic growth and social development.Bangladesh, Sheikh Hasina
vipi kuhusu sheikhat?Ustadhat hawezi kuwa sheikh mkuu??
Umejibu hoja vizuri sana, misingi ya dini hairuhusu yet anaweka saisaUsianzishe mijadala usiyokuwa na ufahamu nayo.
Ni cheo siyo jinsiaSasa ushasema sheikh anakuwaje mwanamke
Naona hamtaki kujifunza mnataka kubishana ,haya subiri umuone huyo sheikh wa kike akitokea nipo paleeNi cheo siyo jinsia
Ustadhat ni mwalimu wa dini wa kike hivyo hawezi kuwa sheikh mkuu kwa sababu Qur an imeweka wazi kuwa mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke.Ustadhat hawezi kuwa sheikh mkuu??
Hiyo Sheikh ya Hasina sio cheo cha kidini.Bangladesh, Sheikh Hasina
nenda Kwa vijana wa papafransis wakakufr huko acha upumbavuTanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu, na sasa kuna matumaini ya kuwa kabla ya mwaka 2030, tutashuhudia mwanamke akichukua wadhifa huo muhimu.
Katika muktadha wa Tanzania, wanawake wamekuwa wakifanya kazi kubwa katika jamii, lakini bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kutafuta nafasi za uongozi. Hali hii inahitaji mabadiliko ya kimfumo na mitazamo ili kuwezesha wanawake kuchukua nafasi hizo. Serikali na taasisi mbalimbali zina jukumu la kuhakikisha kwamba wanawake wanapata fursa sawa katika uongozi.
Ushirikishwaji wa wanawake katika siasa umekuwa ukiongezeka. Kwa mfano, bunge la Tanzania limekuwa na wanawake wengi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hii ni ishara nzuri kwamba wanawake wanapewa nafasi na wanajitahidi kufikia malengo yao. Hata hivyo, bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili kufikia usawa wa kijinsia, hasa katika ngazi za juu za uongozi.
Sababu nyingi zinachangia katika kuzuia wanawake wasishike nafasi za juu. Moja ya sababu hizo ni mitazamo ya kijamii ambayo inawaweka wanawake katika nafasi za chini. Hili linaweza kubadilishwa kwa njia ya elimu na uhamasishaji. Wanawake wanahitaji kupewa elimu bora na fursa za kujifunza ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
Aidha, ni muhimu kuunda mazingira rafiki kwa wanawake katika siasa. Hii inaweza kufanywa kwa kuanzisha sera na sheria zinazowalinda wanawake na kuwapatia fursa sawa. Mifano ya nchi ambazo zimefanikiwa katika hili inapaswa kuchukuliwa kama mfano wa kuigwa.
Pia, ni muhimu kuhamasisha wanawake wenyewe kujitokeza na kushiriki katika siasa. Wanahitaji kujua kwamba wanaweza kufanya mabadiliko na kuwa na sauti katika masuala ya kisiasa. Hali hii itawasaidia kujiamini na kujitokeza zaidi katika nafasi za uongozi.
Katika kuelekea mwaka 2030, ni muhimu kwa jamii nzima, ikiwemo wanaume, kushiriki katika juhudi hizi.
Wanaume wanapaswa kuwa washirika katika kuhamasisha na kusaidia wanawake katika kutafuta nafasi za uongozi. Ushirikiano huu utaleta mabadiliko chanya na kuimarisha usawa wa kijinsia katika siasa.
Kwa kuzingatia maendeleo haya, ni matumaini yetu kwamba Tanzania itapata Sheheh Mkuu mwanamke kabla ya mwaka 2030.
Hii itakuwa ni hatua kubwa katika historia ya nchi na itaonesha uwezo wa wanawake katika uongozi. Ni wakati wa kuonyesha kwamba wanawake wanaweza na wanastahili kuwa sehemu ya maamuzi makuu ya nchi.
Kwa hivyo, jitihada hizi za kuleta mabadiliko ni muhimu, na kila mmoja wetu ana jukumu la kuchangia. Kwa pamoja, tunaweza kuhakikisha kuwa wanawake wanapata nafasi wanazostahili katika uongozi wa Tanzania.
Ila mwalimu hiyo ni kidini kwa kiraia inaakaje? Mana tuna Rais, tuna spika na wengine kede kedeUstadhat ni mwalimu wa dini wa kike hivyo hawezi kuwa sheikh mkuu kwa sababu Qur an imeweka wazi kuwa mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke.
Unalipi la maana la kumzidi KAFIRI?Huna ulijualo Qafiri wewe