UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

Sio rahisi hilo...
 
kabla ya
halafu bado madhara ya bangi hayaonekani.
 
Kwanza tujue istilahi hizi, ustadhat, ukhth, hajjat na sheikhat, kuna cha kujifunza, wajuzi wa dini hiyo rekebisheni maneno hayo
 
Ila mwalimu hiyo ni kidini kwa kiraia inaakaje? Mana tuna Rais, tuna spika na wengine kede kede
Swali zuri sana.

Ipo hivi, Sheria zote za dini ya kiislamu huwa zinatekelezwa effectivelly kwenye nchi zilizokubali kufuata Quran kama muongozo wao, SasaTanzania ni secular state dini zote zina haki sawa na nchi hii haiendeshwi kidini Hivyo, Tanzania haifuati quran kama katiba yake bali tunayo katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo inaruhusu jinsia yeyote kuongoza mpaka ngazi ya ukuu wa nchi.
Sasa hapo utaona kuna muingiliano wa muongozo wa dini na katiba Hivyo, Kipi cha kufuata inabaki kuwa maamuzi ya mtu binafsi mfano katika uislamu pombe ni haramu ila Tanzania ina makampuni ya uzalishaji pombe hivyo kunywa au kutokunywa inabaki maamuzi ya mtu husika tofauti na nchi za kiislamu ambazo ukinywa ni kosa kisheria.
The same applied kwenye uongozi ni swala la namba moja mwenyewe kuamua afuate quran au katiba ?
 
Tumataka ma Mufti mkuu awe mwanamke - fursa sawa kwa wote.
 
Pia ifikie mahali Wanawake ndio watoe mahari kuwaoa Wanaume, ili tutoke kwenye mfumo Dume kwenda mfumo Kike. Hapo labda hizi kelele zitaisha, na wanaume ndio wapewe viti maalum za ubunge.
 
Usianzishe mijadala usiyokuwa na ufahamu nayo.
Sasa hivi tunae Mkuu wa nchi,

ambae Sheikh Mkuu, kadhi Mkuu na Askofu Mkuu wote wapo chini yake.

Malkia wa kwanza wa Tanzania mwanamke wa Kiislam, Raisa mama Samia Suluhu Hassan anatosha.

Tunataka katiba mpya mambo ya Urais yakome, tuwe na Malkia.

RRRR.
 
Kwahiyo kwa huo uelewa wako unatarajia ipo siku Sheikh ataweza kuwa Askofu wa RC au Askofu ataweza kuwa Sheikh mkuu na Mufti wa Bakwata?
 
Uwelewa juu ya Uwislam,
Unasemaje Qafiri?
Nyie waislamu sisi wakristo au watu ambao sio wa Imani yenu,huwa mnatuita makafiri,,,asa nauliza what special au mnayapi ya muhimu ya kuwafanya mjione ni special???,au mna some sorts of DILUTIONS AU MNA PSYCHOSIS???
 
Kaka epuka Sana mada za vijiweni ,wanakuingiza Cha kike hao wazee wa kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…