UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

Uwelewa wake


Kwanza unajua maana ya Qafiri ?tuanzie hapo
Kulingana na maana yenu,,, KAFIRI NI mtu ambaye haamini katika hiyo dini yenu ndo nalojua,,na wewe niambie maana yake,je ni Nini?
 
Uislamu sio chama Cha siasa kua watapindisha itikadi au misimamo yao msingi Ili kufuata mkumbo au kujaribu kupata wafuasi zaidi hata wale waasi wakuu kama mashoga n.k.
Wanawake Wana hadhi kubwa katika you uislamu lakini Kuna majukumu yao na Kuna majukumu ya wanaume. Hata mh rais wa Sasa anajua pahali pake akiwa na mume wake katika maisha yao nyumbani.
Uislamu ni either umo au haumo (to be or not to be )hakuna kupindisha.
 
Ewaa mama atakua kaifungua nchi sana....so ikitokea hivo inamaana sheikh atakua akiingia period haendeshi ibada 😂😂😂😂😂😂
 
Ndio nchi kwa maana ya serikali haifuati ila wanachi wana dini zao wanazofuata.
Sasa hizo dini zao ndiyo Uislamu hauruhusu kuwa na Mufti mwanamke na katiba ya nchi yetu pamoja haijaegemea upande wa dini yotote lakini haiwezi kuingilia hilo.
 
Kulingana na maana yenu,,, KAFIRI NI mtu ambaye haamini katika hiyo dini yenu ndo nalojua,,na wewe niambie maana yake,je ni Nini?
Upo sahihi yeyote asie muislam ni Qafiri,sasa turudi kwenye Swali lako
Kitu ambacho kinatofautisha kati yetu na yenu munaabudu tusicho kiabudu.
Hapa tunagusa Nguzo 5 za Uwislam.
Kwa hiyo ukiitwa Qafiri usikasilike Mkuu ni haki yako nawala sio neno baya
 
Alafu huyo ostadhat..wakike ajichangange aolewe na mm walaah huo msikiti nta mshawishi tuuze mafuta na tende za upako mixer Alkasusu
 
Alafu huyo ostadhat..wakike ajichangange aolewe na mm walaah huo msikiti nta mshawishi tuuze mafuta na tende za upako mixer Alkasusu
 
Waislamu wako strict sana na mambo ya jinsia, sisi wakristo ndo tunajichanganya, kule wanawake wanawekwa wakfu, huku wanakataliwa, hii ni kwa sababu umoja wetu ushavurugwa na kile askofu bagonza alichokiita "uasi mtakatifu"
 
Umetuvuruga Sana Hii Thread Ifutwe Haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…