Mpangaji OG
Member
- Dec 10, 2024
- 18
- 23
Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nalo litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Madhebu mengine madogo madogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa sababu ya njaa kali na kurubuniwa lakini hayatafanikiwa.
4. Tunzeni huu , unabii , Dhana ya no election ,ni kama vile CCM na Serikali yake inakosea namna ya kupigana nao, wanapambana na chadema na wanajisahau kuwa hakuna watu hatari katika hili kama vyombo vingine, Amazon ni taasisi za dini . Kuna baadhi ya maeneo yaliyo mengi wakristo ni wengi ukifananisha na dini nyingine. Ukitoa mikoa ya pwani , na maeneo ya mijini ambayo waumini wapo mchanganyiko.
Serikali na ccm wabadilishe mbinu zao, wanaelekeza nguvu nyingi upande mmoja , lakini wanasahau upande mwingine ambao ndio hatari zaidi. Iko mikoa qmbayo ni strongholds ya wakristu,, ambapo zoezi la upogaji kura yanaweza kuathirika ktk kuwapata viongozi kama serikali italazimisha kwenda kwenye uchaguzi, unaweza kuta kata nzima walioenda kupiga kura ni watu kumi, kwa sababu hata viongozi wa ccm waliopo huko chini wataogopa kwenda kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kufungiwa na dhehebu hilo.