Utabiri uliofichika:- Kazi na Utu

Utabiri uliofichika:- Kazi na Utu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.

Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili unabadilikabadilika kila wakati, ilhali ulimwengu wa roho ni mkamilifu, hauna mabadiliko.

Hiki ninachoenda kukiongelea ni utabiri na sio ubashiri. Jicho la ndani limeona Watu wameshanawa mikono. BWANA YULE, akikumbwa na lolote, The Green wameshajitoa, hawataki kulaumiwa.

No reform no election itapotea katikati ya mwaka huu (June/July).

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
 
IMG_20250311_200459.jpg
 
Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu. Kama aliyetaka kummaliza hapo awali, akaondoka yeye, basi na huyu ataondoka, atamwacha asiyemtaka
 
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.

Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili unabadilikabadilika kila wakati, ilhali ulimwengu wa roho ni mkamilifu, hauna mabadiliko.

Hiki ninachoenda kukiongelea ni utabiri na sio ubashiri. Jicho la ndani limeona Watu wameshanawa mikono. BWANA YULE, akikumbwa na lolote, The Green wameshajitoa, hawataki kulaumiwa.

No reform no election itapotea katikati ya mwaka huu (June/July).

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Kumbe wanataka kumalizia kile kiporo cha 17 September 2017, itakula kwao.
 
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.

Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili unabadilikabadilika kila wakati, ilhali ulimwengu wa roho ni mkamilifu, hauna mabadiliko.

Hiki ninachoenda kukiongelea ni utabiri na sio ubashiri. Jicho la ndani limeona Watu wameshanawa mikono. BWANA YULE, akikumbwa na lolote, The Green wameshajitoa, hawataki kulaumiwa.

No reform no election itapotea katikati ya mwaka huu (June/July).

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Hakuna cha utabiri wala baba yake wapangao watakufa mapema na kumuacha mwana wa Mungu akidunda
 
Back
Top Bottom