Yanga mechi imewauma kwasababu wanafukuzia records, kushinda mechi nyingi mfululizo, cleansheet nyingi.Ni mawazo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga mechi imewauma kwasababu wanafukuzia records, kushinda mechi nyingi mfululizo, cleansheet nyingi.Ni mawazo yako
Mimi nilishaongea huko nyuma kuhusu Baka baada ya kumuona kwenye mechi za kimataifa, nilisema Baka mchezaji mzuri ila uhuni uhuni wa kijinga hauna nafasi kwenye mpira anatakiwa ajifunze kuwa na nidhamu acheze kama mchezaji mkubwa. Nadhani anahitaji kocha mzuri na kumwambia ukweli.Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam si mpinzani wetu sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.
Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga na kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema Azam wakamshukia vibaya.
My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba na wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali.
Wamezoea kusikia vitu vizuri hawapendi kuambiwa ukweli mchungu!
...Kuna siku mkongwe @edokumwembe alisema Yanga wako karibu zaidi kupoteza mchezo au kutoa sare kuliko kushinda watu hawakumuelewa...
Kuna Wachambuzi pale Wasafi Fm walitanabaisha ubora wa Yanga viongozi wakapiga simu studio na kuanza kukosoa...
Iko hivi...
Kabla ya Yanga kupoteza walikua wamecheza mechi 7 na kushinda zote...
Katika kushinda hizo zote,Mechi 5 kati ya 7 walishinda kwa bao 1-0.
Mechi mbili wakashinda kwa mabao 2+ (4-0 vs Pamba na 2-0 vs JKT Tanzania)
Tafsiri nyepesi ni kwamba ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi 5 kati ya 7 maana yake safu yako ya Ushambuliaji ina tegemea uimara wa safu ya ulinzi kushinda mechi.
Yaani timu ipo karibu zaidi kumaliza mchezo bila bao...ndio ukaribu wa sare au kufungwa..
Kama kwenye hizo mechi 5 wangeruhusu bao kwenye mechi mbili au 3 maana yake wangedondosha alama..
Leo safu ya Ushambuliaji haijafunga na safu ya ulinzi imefungwa ndio maana utofauti kwenye mchezo umeonekana.
Ukweli Yanga wana struggle kufunga mabao msimu huu tofauti na misimu iliyopita ingawa Kuna watu hawataki kuamini hicho kitu...
Project inaelekea mwishoni hii...
#NB: Lile goli hata uwaweke kina Diarra wawili wanakufa pale...
✍️Sospeter Ilagila
Acha kukariri maisha we utopwinyo waheedSidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam si mpinzani wetu sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.
Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga na kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema Azam wakamshukia vibaya.
My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba na wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali.
Una maumivu makali,pole chura wa kijani na huu ni mwanzo tu mtachenyetwa sana.Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam si mpinzani wetu sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.
Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga na kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema Azam wakamshukia vibaya.
My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba na wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali.
namba 2 imeonesha una mahaba sio mapenzi kwamba lile ni goli la kengoldNa hizo mechi walizoshinda;
1. Wapinzani walipunguzwa kwa Kadi nyekundu.
2. Magoli ya Wapinzani yamekataliwa waz wazi mf. Mechi na Kengold.
3. Wachezaji wa Yanga wamecheza madhambi ya Penati au kushika mpira kwenye 18 pasipo kuadhibiwa.
4. Marefa wamefanya makosa ya kibinadamu isivyo kawaida.
5. Wamecheza na Timu za Jiesimu kama zote. Kwa kifupi hao Watopolo kwa sasa wana Timu imara mnoooo wanaongoza ligi na watachukua mapema mnoo tuendelee kuimba mapambio.
Hii ni chuki kiwango cha lami hata Hitler aliwachukia wayahudi ila haikuwa ya kiwango hiking.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142185
🤣🤣🤣Haya anzisheni huko tuitikie "unaifungaje eeeee!"View attachment 3142212
Kuifunga Yanga yenye wachezaji 10 uwanjani si kipimo sahihi cha ubora wa Azam Mkuu, be honest to yourself, Yanga kamili bado haifungiki, wimbo bado umesimama pale pale mtani.Haya anzisheni huko tuitikie "unaifungaje eeeee!"View attachment 3142212
Yes bro, I have written to wachezaji wetu uto, ujumbe haukuwa wako ndo maana umepata nao shida na kosa ni lako kuzamia sherehe ambayo hukualikwa na kuanza kula wali kabla ya mgeni rasmi na mwingine kubeba kwenye shati!!Maelezo meeengi broo!!
Mimi nilishaongea huko nyuma kuhusu Baka baada ya kumuona kwenye mechi za kimataifa, nilisema Baka mchezaji mzuri ila uhuni uhuni wa kijinga hauna nafasi kwenye mpira anatakiwa ajifunze kuwa na nidhamu acheze kama mchezaji mkubwa. Nadhani anahitaji kocha mzuri na kumwambia ukwel
Wamefungwa pungufu sababu huwa hukumu halali ya wachezaji wenu wanaocheza vibaya hawaipati, huyo mudathir na aucho wanacheza vibaya kuanzia dk 1 mpaka mwisho hawahukumiwi.Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam hajawahi kuwa mpinzani wetu, sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.
Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga tu ligi nzima ili wachezaji kujiuza kwa Gamondi aokote japo mmoja wao na baadae kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , KMC, Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema kuhusu hilo, Azam wakamshukia vibaya. Leo Msindo kacheza kama beki, kama striker na kama midfielder, yaani kijana kajitoa asilimia 200! Mechi ijayo atajitoa asilimia 10!!
My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia na kulazimisha maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba, Namungo na vibonde wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali. Ni kosa kubwa lisilovumilika mchezaji wa Yanga kulazimisha kupewa red card ya kujitakia maana Yanga ni bora ikiwa kamili.
SidhaniUna maumivu makali,pole chura wa kijani na huu ni mwanzo tu mtachenyetwa sana.
Mtarudiana tu ligi bado ipoKama mnawaamin sana azam wambien turudiane tena
Hakitoshi mkuu, kimoja wakati tuliwapiga vinne na katerero juuKwamba kimoja hakitoshi mzee?