Utabiri wa Edo Kumwembe umetimia

Utabiri wa Edo Kumwembe umetimia

...Kuna siku mkongwe @edokumwembe alisema Yanga wako karibu zaidi kupoteza mchezo au kutoa sare kuliko kushinda watu hawakumuelewa...

Kuna Wachambuzi pale Wasafi Fm walitanabaisha ubora wa Yanga viongozi wakapiga simu studio na kuanza kukosoa...

Iko hivi...

Kabla ya Yanga kupoteza walikua wamecheza mechi 7 na kushinda zote...

Katika kushinda hizo zote,Mechi 5 kati ya 7 walishinda kwa bao 1-0.

Mechi mbili wakashinda kwa mabao 2+ (4-0 vs Pamba na 2-0 vs JKT Tanzania)

Tafsiri nyepesi ni kwamba ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi 5 kati ya 7 maana yake safu yako ya Ushambuliaji ina tegemea uimara wa safu ya ulinzi kushinda mechi.

Yaani timu ipo karibu zaidi kumaliza mchezo bila bao...ndio ukaribu wa sare au kufungwa..

Kama kwenye hizo mechi 5 wangeruhusu bao kwenye mechi mbili au 3 maana yake wangedondosha alama..

Leo safu ya Ushambuliaji haijafunga na safu ya ulinzi imefungwa ndio maana utofauti kwenye mchezo umeonekana.

Ukweli Yanga wana struggle kufunga mabao msimu huu tofauti na misimu iliyopita ingawa Kuna watu hawataki kuamini hicho kitu...

Project inaelekea mwishoni hii...

#NB: Lile goli hata uwaweke kina Diarra wawili wanakufa pale...

✍️Sospeter Ilagila
Uto baaaas tena
 
Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam hajawahi kuwa mpinzani wetu, sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.

Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga tu ligi nzima ili wachezaji kujiuza kwa Gamondi aokote japo mmoja wao na baadae kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , KMC, Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema kuhusu hilo, Azam wakamshukia vibaya. Leo Msindo kacheza kama beki, kama striker na kama midfielder, yaani kijana kajitoa asilimia 200! Mechi ijayo atajitoa asilimia 10!!

My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia na kulazimisha maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba, Namungo na vibonde wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali. Ni kosa kubwa lisilovumilika mchezaji wa Yanga kulazimisha kupewa red card ya kujitakia maana Yanga ni bora ikiwa kamili.
img_1_1730596676293_1.jpg
 
Yaani kusema Yanga watafungwa tu ndio katimia wanafungwa Madrid na na watu pale sembuse Yanga aisee Nchi yetu ina watu tumedumaa sana kwa sababu ya kula Sembe..
 
Mapungufu ya Yanga ni machache kuliko wapinzani wote wanao shindana nae.
Ukitaka kuona ilo iyo mechi Yanga wamecheza pungufu dk 60 na zaidi ila wao ndio ilikua timu inayo shikilia na ku ulazimisha mchezo.

Haikua bahati tu kwa Yanga kupata Goli maana walitengeneza nafasi na ata Yanga wange sawazisha na kushinda isingekua ajabu kwa wale waliokua wakuangalia mechi.

Kama timu inaweza kucheza pungufu kwa kiwango kile ivi Kuna timu ya kuinyang'anya Ubingwa Yanga!!

Yanga bingwa.
ule ulikuwa mpango wa mwalimu wa azam watu wako pungufu, unaongoza goli 1, unajua kabisa hawawezi kuchomoa ya nini kujichosha na kuweka ushindi wako rehani? Hata mlivyokua 11 azam aliwamudu tu vizuri.
 
Kuifunga Yanga yenye wachezaji 10 uwanjani si kipimo sahihi cha ubora wa Azam Mkuu, be honest to yourself, Yanga kamili bado haifungiki, wimbo bado umesimama pale pale mtani.
kwani hiyo kadi nyekundu yanga waliipataje? Azam msimu uliopita alikupopoa ukiwa kamili why not today?
 
simba tulishawahi kuwafunga tukiwa pungufu ulikuwa bado hujazaliwa ndugu chura??
Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam hajawahi kuwa mpinzani wetu, sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.

Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga tu ligi nzima ili wachezaji kujiuza kwa Gamondi aokote japo mmoja wao na baadae kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , KMC, Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema kuhusu hilo, Azam wakamshukia vibaya. Leo Msindo kacheza kama beki, kama striker na kama midfielder, yaani kijana kajitoa asilimia 200! Mechi ijayo atajitoa asilimia 10!!

My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia na kulazimisha maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba, Namungo na vibonde wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali. Ni kosa kubwa lisilovumilika mchezaji wa Yanga kulazimisha kupewa red card ya kujitakia maana Yanga ni bora ikiwa kamili.
 
simba tulishawahi kuwafunga tukiwa pungufu ulikuwa bado hujazaliwa ndugu chura??
Sidhani kuna mwanayanga ameumia kufungwa na Azam leo sababu tulikuwa pungufu na pia Azam hajawahi kuwa mpinzani wetu, sisi uto raha yetu ni kumchinja mnyama tu basi. Makolo leo sherehe! Azam wasijisifu sababu bado hawajafikia ubora wa Yanga wameifunga Yanga pungufu hicho si kipimo sahihi. Azam bado sana kuifikia Yanga ambayo leo mchezaji wake mmoja tu Ibra Baka alikuwa na siku mbaya kazini wakapata advantage.

Azam wanajulikana kwa kuikamia Yanga tu ligi nzima ili wachezaji kujiuza kwa Gamondi aokote japo mmoja wao na baadae kufungwa kirahisi na vibonde kama Simba , KMC, Coastal union na vibonde wengine, hata Mayele ashawahi kusema kuhusu hilo, Azam wakamshukia vibaya. Leo Msindo kacheza kama beki, kama striker na kama midfielder, yaani kijana kajitoa asilimia 200! Mechi ijayo atajitoa asilimia 10!!

My take
Baka akumbushwe kuacha masifa ya kijinga kutafuta red card za kujitakia na kulazimisha maana hiyo ni aina ya uchezaji wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam, Simba, Namungo na vibonde wengine. Baka akumbushwe yuko timu kubwa Africa aache kucheza ndondo. Alichopaswa kufanya Baka ni kujilinda kwa kumuacha mshambuliaji akapambane na Diarra kipa bora wa ligi, mbona Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa. Na hata kama Saaduni angefunga Yanga kamili ingerudisha goli na kuongeza kama ambavyo tumeshawafanya Azam mara nyingi, tunatangulia kufungwa kipindi cha pili huwa ni msako mkali. Ni kosa kubwa lisilovumilika mchezaji wa Yanga kulazimisha kupewa red card ya kujitakia maana Yanga ni bora ikiwa kamili.

Mapungufu ya Yanga ni machache kuliko wapinzani wote wanao shindana nae.
Ukitaka kuona ilo iyo mechi Yanga wamecheza pungufu dk 60 na zaidi ila wao ndio ilikua timu inayo shikilia na ku ulazimisha mchezo.

Haikua bahati tu kwa Yanga kupata Goli maana walitengeneza nafasi na ata Yanga wange sawazisha na kushinda isingekua ajabu kwa wale waliokua wakuangalia mechi.

Kama timu inaweza kucheza pungufu kwa kiwango kile ivi Kuna timu ya kuinyang'anya Ubingwa Yanga!!

Yanga bingwa.
Simba tulishawahi kuwafunga tukiwa pungufu ulikuwa bado hujazaliwa ndugu chura
 
Na hizo mechi walizoshinda;

1. Wapinzani walipunguzwa kwa Kadi nyekundu.

2. Magoli ya Wapinzani yamekataliwa waz wazi mf. Mechi na Kengold.
Ikiwa goli halijaingia inatakiwa likakataliewe shimoni au uvunguni mwa kitanda?
3. Wachezaji wa Yanga wamecheza madhambi ya Penati au kushika mpira kwenye 18 pasipo kuadhibiwa.
Huo ni mchezo, mbona ya wachezaji wa Yanga hauyaongelei?
4. Marefa wamefanya makosa ya kibinadamu isivyo kawaida.
5. Wamecheza na Timu za Jiesimu kama zote.
Kumbe GSM ana timu? Simba nayo kumbe ni timu ya GSM?
Kwa kifupi hao Watopolo kwa sasa wana Timu imara mnoooo wanaongoza ligi na watachukua mapema mnoo tuendelee kuimba mapambio.
Kumbe unalijua? Au uliamaniwachukueubingwa pasipo kupoteza?
 
Yes bro, I have written to wachezaji wetu uto, ujumbe haukuwa wako ndo maana umepata nao shida na kosa ni lako kuzamia sherehe ambayo hukualikwa na kuanza kula wali kabla ya mgeni rasmi na mwingine kubeba kwenye shati!!
Mkifungwa mnaandika balaa
 
Unaamini kadi nyekundu inapunguza uwezo wa timu?Kuna timu moja hapa bongo ilipewa nyekundu ikiwa imefungwa moja na ikashinda mechi hiyo
 
Na hizo mechi walizoshinda;

1. Wapinzani walipunguzwa kwa Kadi nyekundu.

2. Magoli ya Wapinzani yamekataliwa waz wazi mf. Mechi na Kengold.

3. Wachezaji wa Yanga wamecheza madhambi ya Penati au kushika mpira kwenye 18 pasipo kuadhibiwa.

4. Marefa wamefanya makosa ya kibinadamu isivyo kawaida.

5. Wamecheza na Timu za Jiesimu kama zote. Kwa kifupi hao Watopolo kwa sasa wana Timu imara mnoooo wanaongoza ligi na watachukua mapema mnoo tuendelee kuimba mapambio.
Tatizo nyie wajinga mnatumiage pua kufikiri.mnawekeza sana kwenye Majungu mnaacha kucheza mpira.tungeshinda mngesema ohh GSM tukipoteza mnahamia oohh timu za GSM zimeisha.mnasahau nyie wenyewe mmepihwa matano juu,je na nyie ni GSM?yaani nyie wanasimba hamna tofauti na walozi.ni watu wa ajabu sana nyie mnabidi niende milembe
 
Back
Top Bottom