Utabiri wa Edo Kumwembe umetimia

Ligi ya Tanzania ina loopholes nyingi za kuamua mechi.
 
Mimi nilishaongea huko nyuma kuhusu Baka baada ya kumuona kwenye mechi za kimataifa, nilisema Baka mchezaji mzuri ila uhuni uhuni wa kijinga hauna nafasi kwenye mpira anatakiwa ajifunze kuwa na nidhamu acheze kama mchezaji mkubwa. Nadhani anahitaji kocha mzuri na kumwambia ukweli.
 
Wamezoea kusikia vitu vizuri hawapendi kuambiwa ukweli mchungu!
 
Acha kukariri maisha we utopwinyo waheed
 
Una maumivu makali,pole chura wa kijani na huu ni mwanzo tu mtachenyetwa sana.
 
Mapungufu ya Yanga ni machache kuliko wapinzani wote wanao shindana nae.
Ukitaka kuona ilo iyo mechi Yanga wamecheza pungufu dk 60 na zaidi ila wao ndio ilikua timu inayo shikilia na ku ulazimisha mchezo.

Haikua bahati tu kwa Yanga kupata Goli maana walitengeneza nafasi na ata Yanga wange sawazisha na kushinda isingekua ajabu kwa wale waliokua wakuangalia mechi.

Kama timu inaweza kucheza pungufu kwa kiwango kile ivi Kuna timu ya kuinyang'anya Ubingwa Yanga!!

Yanga bingwa.
 
namba 2 imeonesha una mahaba sio mapenzi kwamba lile ni goli la kengold

namba 4 ukisoma unacheka sana,kuna refa alitoa njano mtu wa mwisho alipo fanya madhambi wala hakuna malalamiko
 
Hii ni chuki kiwango cha lami hata Hitler aliwachukia wayahudi ila haikuwa ya kiwango hiking.
 
Sio kweli kwamba yanga imeshuka kiwango ila timu nyingi zinaichukulia yanga kwa ukubwa wake na zinajiandaa vilivyo.
Baada ya yanga kufungwa na azam,,mechi zinazofuata za yanga itaonekana kiwango chake kimepanda nayo pia haitakua kweli...ila sababu itakua ni timu nyingi zitaamini yanga sio timu tishio na inafungika.
 
Maelezo meeengi broo!!
Yes bro, I have written to wachezaji wetu uto, ujumbe haukuwa wako ndo maana umepata nao shida na kosa ni lako kuzamia sherehe ambayo hukualikwa na kuanza kula wali kabla ya mgeni rasmi na mwingine kubeba kwenye shati!!
 
Kupoteza kawaida ila mnajimaliza Sana,Baka amewahi Fanya lini uhuni?
 
Wamefungwa pungufu sababu huwa hukumu halali ya wachezaji wenu wanaocheza vibaya hawaipati, huyo mudathir na aucho wanacheza vibaya kuanzia dk 1 mpaka mwisho hawahukumiwi.
Mara nyingi sana wanazuia watu wasifunge kwa kufanya faulo ambazo waamuzi hawatoi hukumu sahihi. Kwa hiyo utopolo jifunzeni kucheza mpira clean muone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…