Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
 
Ndio ulikuwa mpango wao, Korona nayo imefanya yake, hawana hizo pesa
 
Sio kwamba hawapendi... uwezo hakuna. Kumbuka mshahara ukipanda ndio umepanda hauna rivasi
Kwa Magu kila kitu kinawezekana. Mnaweza kushangilia mshahara mpya , November akausimamisha mkarudi kwenye enzi zenu.
Je,ulitegemea hii miaka 5 ya kula tope kwa watumishi?
 
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake.
Si ili mumpe kura?? Chezea danganya toto wewe
 
Back
Top Bottom