Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Kuna waraka wa kutoka hazinaa kuwa watumishi wa umma walienda kutangaza nia hakuna kulipwa mshahaara mwezi huu
Sasa watawakamataje?
Au mtu aliondoka kazini kwa mbwembwe mpaka siri ivuje?.
Kwani tunaongozwa kwa waraka au sheria?
 
Kila mtumishi ana watu sita nyuma yake wanaomtegemea.
Kama majority wana hasira dhidi yake basi hizo siyo chini ya kura milion 3 zitakwenda upinzani
 
Magufuli ni Mtu wa Propaganda hakuna analosema likawa sahihi,,,,Acha kusubiri Agost,,Isubiri October Nenda kapige kura,,,Na usifanye Makosa,,wewe na uwahamasishe wanaokuzunguka vinginevyo Miaka 5 ijayo itakua michungu zaidi kwa Watumishi!.
 
Sasa watawakamataje?
Au mtu aliondoka kazini kwa mbwembwe mpaka siri ivuje?.
Kwani tunaongozwa kwa waraka au sheria?
Mwajiri ndo atawakamata
Barua.jpg
 
Huyu mtu ni wa kumkataa kabisa
Magufuli ni Mtu wa Propaganda hakuna analosema likawa sahihi,,,,Acha kusubiri Agost,,Isubiri October Nenda kapige kura,,,Na usifanye Makosa,,wewe na uwahamasishe wanaokuzunguka vinginevyo Miaka 5 ijayo itakua michungu zaidi kwa Watumishi!.
 
Bunge la kupitisha hiyo mishahara liko wapi?Labda aendelee kuvunja sheria na katiba ya nchi kwa kuamua yeye kama yeye.
Upandsh wa mishahara hautegemei Bunge kwa mkataba wa mtumishi upo waz kuw ana Haki ya increament kutoka na hali ya kiuchumi,
Nakupandshw cheo kila baada ya miak 3 saa ingne 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa pamoja tumpongeze Rais kwa huruma yake kwa watumishi wa umma

Nasi wastaaf ikimpendeza atuongezee japo kiduchu cha kubadilishia mboga
Mkuu kodi haijapunguzwa, kilichochezeshwa ni "Threshold ya PAYE" ( Kima cha chini cha mshahara kisichokatwa kodi ndo kimeongezeka), akili kubwa imecheza hapa!
 
Back
Top Bottom