Inaonekana wanabodi wengi wa JF ama sio waajiriwa wa Serikali, au hawana mguso na mambo yanavyoenda Serikalini au wanafanya kusudi kwa kili mtu inavyo mpendeza.
Baada ya kufanya mageuzi ya mfumo wa undeshaji serikalini hasa madaraja ya waajiriwa, Mishahara imebadilika sana Serikalini. Mzee wa Msoga aliacha mfumo wa uendeshaji hasa wa Utumishi umekufa na unapofanya kazi hauna formular ambayo yeyote Mtawala anweza kuuendesha utumishi wa Umma bila kukumbana na vipingamizi. Hapa ninapo andika hivi wako watumishi na waalimu ambao ni waajiriwa wa Utumishi wa Umma naomba mchangie, na mseme ukweli ulivyo.