Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Wenye kufikiri vyema tumejua,anaweza kupunguza kodi lakini sio kuongeza mshahara kwa sababu ni rahisi sana kufanya marekebisho ya kodi (kuongeza baada ya uchaguzi) na kurudi kwenye mishahara ya zamani, lakini ukiongeza mshahara basic salary,huwezi kuipunguza kirahisi!

So, yawezekana kabisa kukawa na ongezeko la take home kwa kipindi kifupi,lakini ikachukuliwa baada ya election!
 
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Ukiwa hujaongezewa mshahara usininune na wewe punguza kura mshawishi na mwezako kufanya hivyo!
 
TAKUKURU hii hii au nyingine?
Hii takukuru ya kumhoji Kangi Lugola na ilani yake mkononi au nyingine?
 
Kama
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake

Ndoto za alinacha!!!
 
Hawaji hapa sababu hawataki kusema mishahara imebadilika sana mpaka muda huu, na mabadiliko ya pili yanakuja July/ August. Wanakimbia kutoa mcha ngo hapa. Ila wanafanya ambao ama sisi wenyewe au wake zetu ni watumishi wa Serikali tuonekane tunasema kitu ambacho hakipo.
Ila ukimya ukizidi tutapandisha salary slips zetu ambazo zitasema zenyewe..

Kuwa muazi ueleweke Mtoto wa Kiume usiongee kimafumbo
 
Muungwana endelea kujifariji maana matumaini ya yakiisha kabisa unaweza kujinyonga! Unahisi itaongezwa laki moja!!!
 
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Labda mishahara ya watumishi wa CCM makao makuu
 
Habari waungwana?

Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.

Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Alisema akimaliza muda wake atapandisha labda mda ushafika
 
Back
Top Bottom