Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mambo mangapi yamefanyika bila bunge kutia mkono?Bunge la kupitisha hiyo mishahara liko wapi?Labda aendelee kuvunja sheria na katiba ya nchi kwa kuamua yeye kama yeye.
Re-allocation halafu Bunge la January 2021 lije kuidhinisha kwenye Min-bdget reviewBunge la kupitisha hiyo mishahara liko wapi?Labda aendelee kuvunja sheria na katiba ya nchi kwa kuamua yeye kama yeye.
Hawezi kuongeza hata senti huyu jamaa mgumu sanaHapa kaniongezea kama 30k baada ya kupunguza kodi
Utaona tu hapohapo .Ndio ulikuwa mpango wao, Korona nayo imefanya yake, hawana hizo pesa
Mshahara wako ni shingapi mkuu?Hapa kaniongezea kama 30k baada ya kupunguza kodi
Sio kwamba hawapendi... uwezo hakuna. Kumbuka mshahara ukipanda ndio umepanda hauna rivasiUtaona tu hapohapo .
Kwani wakiminya huku na kuchotea huku utawafanya nini?
Natamani kuliaHawezi kuongeza hata senti huyu jamaa mgumu sana
Kwa Magu kila kitu kinawezekana. Mnaweza kushangilia mshahara mpya , November akausimamisha mkarudi kwenye enzi zenu.Sio kwamba hawapendi... uwezo hakuna. Kumbuka mshahara ukipanda ndio umepanda hauna rivasi
Kwa kikokotoo kipi?Gross salary haijapanda ila take home zitaongezeka kwa kuwa kodi imepunguzwa
Subiri itoke mishahara kama huaminiKwa kikokotoo kipi?
Si ili mumpe kura?? Chezea danganya toto weweHabari waungwana?
Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.
Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake.
Poa, maana nimechungulia files za malipo naona bilabilaSubiri itoke mishahara kama huamini