naunga mkono hoja mkuuHabari waungwana?
Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.
Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake.
Sasa wewe ndio uko ON POINT. . . . .Si ili mumpe kura?? Chezea danganya toto wewe
Hujaeleweka unataka nini mkuuInaonekana wanabodi wengi wa JF ama sio waajiriwa wa Serikali, au hawana mguso na mambo yanavyoenda Serikalini au wanafanya kusudi kwa kili mtu inavyo mpendeza.
Baada ya kufanya mageuzi ya mfumo wa undeshaji serikalini hasa madaraja ya waajiriwa, Mishahara imebadilika sana Serikalini. Mzee wa Msoga aliacha mfumo wa uendeshaji hasa wa Utumishi umekufa na unapofanya kazi hauna formular ambayo yeyote Mtawala anweza kuuendesha utumishi wa Umma bila kukumbana na vipingamizi. Hapa ninapo andika hivi wako watumishi na waalimu ambao ni waajiriwa wa Utumishi wa Umma naomba mchangie, na mseme ukweli ulivyo.
Habari waungwana?
Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.
Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Uvunjaji katiba wa hivyo ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi!Labda aendelee kuvunja sheria na katiba ya nchi kwa kuamua yeye kama yeye.
Poa, maana nimechungulia files za malipo naona bilabila
Kama yamelipwa itakuwa Bora, Ila Mara nyingi huwa wanafanya kwa wachache ili ionekane wako kwenye processChungulia vizuri , malimbikizo ya madeni pia yamelipwa.
Hawaji hapa sababu hawataki kusema mishahara imebadilika sana mpaka muda huu, na mabadiliko ya pili yanakuja July/ August. Wanakimbia kutoa mcha ngo hapa. Ila wanafanya ambao ama sisi wenyewe au wake zetu ni watumishi wa Serikali tuonekane tunasema kitu ambacho hakipo.Hujaeleweka unataka nini mkuu
Sijui kama nimekuelewa mkuu, kwahiyo unataka kusema kuwa namba zimeongezeka au zitaongezeka kwenye hati za mishahara ya wafanyakazi?Hawaji hapa sababu hawataki kusema mishahara imebadilika sana mpaka muda huu, na mabadiliko ya pili yanakuja July/ August. Wanakimbia kutoa mcha ngo hapa. Ila wanafanya ambao ama sisi wenyewe au wake zetu ni watumishi wa Serikali tuonekane tunasema kitu ambacho hakipo.
Ila ukimya ukizidi tutapandisha salary slips zetu ambazo zitasema zenyewe..
Kwa hiyo wewe ukipandishiwa mshahara August utahadaika?Mambo mangapi yamefanyika bila bunge kutia mkono?
Habari waungwana?
Kwenye bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2020/2021 watumishi wa umma walisahaulika kwa makusudi kabisa.
Lakini maji ya shingo yatakapomfika Mheshimiwa kipindi cha kampeni atakuwa na karata chache sana mkononi na zote ni spesho (hazifungi). Atajitetete kwa kupandisha mishahara ghafla huku lawama ya kuwagandisha watumishi kwa muda mrefu atawaangushia watendaji wake
Kwa mateso haya km bado kuna mtumishi hujaelewa somo huyo kamwe hawezi elewa hata ufanyejeHuyu mtu ni wa kumkataa kabisa
Anakuambia yeye wakati wa kampeni hakuwai ongea chochote kuhusu katiba that's why hajai ifuata so wa TZ kuhusu changes za hii inchi tusubir awamu nyingne 25 to 30 hapa katikati ni mwendo mdundo mbele kwa mbele.Habari waungwana?